We are back!!Sina imani na magoli ya kwanza anayofunga martin skretel!Toka amekuja liv tukianza kufunga na mfungaj ni yy TUKIJITAID SN TUNAPATA POINT 1..!
We are back!!Sina imani na magoli ya kwanza anayofunga martin skretel!Toka amekuja liv tukianza kufunga na mfungaj ni yy TUKIJITAID SN TUNAPATA POINT 1..!
Haya wakuu, tutakuwa uwanjani kuanzia saa 12 jioni hii kwa saa za Afrika Mashariki kumenyana na Oldham ktk round ya tatu kombe la FA. Mwaka uliopita vijamaa hivi vilitutoa ktk mashindano haya.
Nategemea Rodger awapumzishe baadhi ya wachezaji wetu wa kikosi cha kwanza...YNWA.
Mambo ya usajili naona Basle wanatuekea ngumu! Na Agger kaumia waanze kumueka mtoto Lloris wafanya wanunue Fernando Reges na Salah Kabla hajaenda kwengine.
coutinho ajifunze ku shoot mpira na Lucas na SG naona wanatetemeka tu kati kipa naye akirudishiwa mpira wasiwasi, stoke akicheza mpira wakinyanyua ruka kwa vichwa lfc tutafungwa hawaturuhusu kucheza chini Kama middle hazitocheza vizuri LFC tusahau 3point na hata 1 point. Huwezi mtu 2-0 then warudi Kama sio ubabaishaji wa katikati.