Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kuna huu mchezo wa bwana mdogo Suarez kujirusha rusha ovyo kama yuko kwenye mashindano ya kuogelea...inakera sana

Haahaaaa! Uzuri wa football hakuna anayewazuia hata wenye makengeza kuangalia na kutoa maoni yao!!! Karibu sana mkuu, endelea kutiririka kwa maoni yako 'murua'.
 
Haahaaaa! Uzuri wa football hakuna anayewazuia hata wenye makengeza kuangalia na kutoa maoni yao!!! Karibu sana mkuu, endelea kutiririka kwa maoni yako 'murua'.

Nina asira ujue...ngoja nikajinyonge! Ngoja nijiwish R.I.P karibu kwenye msiba wangu
 
Wale wenzangu wa kule Marseyside,leo ndio kile kipute na watani wetu Everton kinapigwa.Katika mechi zetu mbili za mwisho kukutana na hawa jamaa tulitoka droo zote ikiwemo ile ya msimu uliopita ambayo ilamalizika kwa sare ya 2-2 na ile ya mzunguko wa kwanza ya sare ya 3-3.
Sina mashaka na kikosi changu najua tutafanikisha hili kwa maana huyu Tottenham anayetunyemelea leo anakipiga na Man City.
Kwa mtazamo wangu ningemuomba kocha amuanzishe Victor Moses badala ya Cissoko na kwa kipindi kirefu sijamuona beki wetu wa kulia Wisdom,nadhani angekuwa mbadala wa Johnson ambaye ni majeruhi.
Yote kwa yote nasema We will never walk alone mpaka kieleweke..Ushindi leo lazima,wenzangu wala msivunjike moyo,kama utaenda kubet leo basi nakwambia Liverpool ipe ushindi na kama ukiliwa njoo uchukue hela yako kwangu ila matumaini ya kuliwa yaweke pembeni labda Arsenal akuangushe.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Kama kawaida liverpool 4-0 everton,tumepinguza pengo dhidi ya chelsea na -------- Arsenal katoa suluhu...
Sturridge kwa mara ya mwanza karudi kambani mara mbili hukj suarez akitupia moja na kuzidi kujiimarisha katika ufungaji.Baba mwenye nyumba nae akatupia lake kama kawa..
YNWA YNWA YNWA YNWA....
Kwa wale niliowaambia wampe liver kwenye mikeka uao naona sasa wanachdkelea tu.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Ushindi mzuri sana...tumeongeza goal difference ya +4 ni mtaji coz msimu huu upo tight mno kwa hiyo goal difference zitasaidia sana.
 
Mpaka kieleweke hapa...Game ijayo tukikaza pia tutafika mbali..SAS imerejea katika fomu yao nzuri sana..
Tarehe mbili tuyakuwa wageni wa west brom..

"Nlikuwepo":bolt:
 
Kesho tunakipiga na west brom,wale waliokuwa wanatunyemelea wote wamedraw huku chelsea akiwa na game ngumu jumatatu dhidi ya man city ambao nao wanataka kujihakikishia nafasi ya juu pale.Hiyo ni game nzuri sana kwetu katika kupunguza pengo lililopo la muda mrefu kati yetu na chelsea huku tukiwaacha wapinzani wetu everton na tottenham.

Go go Liverpool,you'll naver walk alone.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Back
Top Bottom