Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

yap allen, gerrald, herndason.....

Allen bado hajanifurahisha hapo kati. Pass zake nyingi zinaishia miguuni mwa maadui, yaani haziko accurate! Jembe letu Sterling sijui kwa nini leo liko bench? Tumetangulia lakini kanaweza kuchomolewa mara moja!
 
Wamekosa goli rahisi sana,watoto wanapita sana huku kwa flanagan kwakuwa hakuna wa kupandisha mashambulizi..

"Nlikuwepo":bolt:
 
Hivi vijamaa vinatupiga muda si mrefu! Nashindwa kuelewa kama hawa nguchiro wanaelewa maana ya ushindi wa leo!
 
Wamekosa goli rahisi sana,watoto wanapita sana huku kwa flanagan kwakuwa hakuna wa kupandisha mashambulizi..

"Nlikuwepo":bolt:

Mkuu umeona? Kule kwa Johnson nako kunakatika sana! Angalau Skirtle anapigana kiume!
 
mkuu siunaona kat tumepotea sa akitoka allen cndoitakua shiddah sababu sterrlin ataenda pemben af kat watabak gerrald na herndason
 
saton wanashambuli sana. Hii
game tusipokuwa makini tunaweza kutandikwa. Liver wameshindwa kumiliki mpira kabisa...saton wapa juu kwenye hii game
 
hii mechi ni presha tupu, inabidi kipindi cha pili tubadilike naona kiungo kimepotea kabisa
 
half time. Liver leo wapo chini ya kiwango. Pasi mbovu, kutojiamini, poor defending, tupo salama c kwa uzuri bali ubovu na umaliziaji mbaya wa saton. Ahsante suarez kwa kutuweka mbele kwa gali 1
 
half time. Liver leo wapo chini ya kiwango. Pasi mbovu, kutojiamini, poor defending, tupo salama c kwa uzuri bali ubovu na umaliziaji mbaya wa saton. Ahsante suarez kwa kutuweka mbele kwa gali 1

Msako unaendelea mbaya sana Mkuu!
Dk 58 Sou 0 Lvp 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…