Kuna mganga mmoja wa kienyeji katabiri kupitia Clouds FM kwamba leo Man U watashinda 2 - 0...lol!!
Sio likibonde hilo
Well played reds, the fear factor at old Trafford is gone.
Mijamaa leo hata Hongera hawataki kuja kutoa kweli imewachoma 3-0 kina Nzi na Belo najua watakuja.