Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Allen aonekani, inabidi awe replaced na Lucas, alafu stering ni mzuri pembeni pale Kati naona kachemka so inabidi awe replaced na coutinho. Kwa kufanya hivo Gerard atakuwa na mwanya sawia wa kutoa pasi . Otherwise hayo mabadiriko yakifanyika tutashinda hii game.
 
1781884_10153914213815508_1218012913_n.jpg
 
Sio likibonde hilo

Mkuu umenichekesha na hii comment yako mpaka watu wameshangaa kwamba nacheka nini? kwa nini likibonde na siyo li-Shaffi? huwa linatuombea njaa sana! lisikilizeni kwenye sport extra sijui litasemaje leo!
 
Hehehe Naona Jamiiforum waliivuja forum kwa muda LFC si mchezo imenyima kula wengi leo hehehe chapa mtu 3-0 wanasema Suarez anafunga timu ndogo tu na leo ndio hiyo timu ndogo kaibanjua la 3 LiverpoolFC YNWA!
 
Mijamaa leo hata Hongera hawataki kuja kutoa kweli imewachoma 3-0 kina Nzi na Belo najua watakuja.
 
Leo liverpool wajivuni mwanzo kati mwisho
 

Attachments

  • 1394997264714.jpg
    1394997264714.jpg
    41.4 KB · Views: 51
Mijamaa leo hata Hongera hawataki kuja kutoa kweli imewachoma 3-0 kina Nzi na Belo najua watakuja.

Hakika hao hawawezi fika mkuu we mtu kapigiwa kwake halafu kanyang'anywa na mke unadhan atathubuu kuonyesha sura yake mtaani ni aibu kubwa ndugu.
 
Back
Top Bottom