Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

ukilala unaiota eh? Endelea kuifurahisha roho yako kwa kuiumiza mwanaume hawi na wivu wa kike.




Mbona una tabia za kijinga wewe? Mimi nije kuionea wivu Liverpool kwa misingi ipi? Ile timu imelaaniwa na haitakuja kuchukua ubingwa mpaka miaka 3o ifike, huu ni mwaka wa 24 bado sita. Mwaka 2008 si ilikuwa hivi hivi.....kelele nyingi mwiho wa siku wanaume wakachukua ubingwa na Liverpool ikaishia kwenye historia mpaka mwaka huu. Au mwenzetu si mfuatiliaji ni mtu wa kufuata upepo tu?
 
Hujui ulisemalo ndugu...frankly speaking timu yenu ndo ishaanza ku retard hi yo na deceleration yake ni kubwa mno.

Poleni ambao bado hamuuoni huo ukweli...japo ni ukweli mchungu ila ni UKWELI.
 
Wana kops mbona tupo kimya sana wakati tunafanya mambo makubwa,timu yetu imezidi kuimalika sana huwezi amini toka mwaka huu uanze hatujafungwa katika EPL ni dozi kwa kwenda mbele.
Hakika mwaka huu tunafuraha sana na nina imani kombe la EPL lipo karibu sana.kwani vijana wanajituma sana.
YNWA
 
Ni mara sita tu huko nyuma imewahi kutokea kwa washambuliaji wawili wa Liverpool kufikisha magoli angalau 20 kila mmoja.Kati ya hizo,mara nne wamekuwa mabingwa wa premier,mara moja mabingwa wa division one na mara moja mabingwa wa division two!

Mpaka sasa Luis Suarez na Daniel Sturridge wana magoli 28 na 20 respectively.Kwahiyo sasa ni mara ya saba ukizingatia maelezo hapo juu.Swali ni je watakuwa mabingwa kama ambavyo imetokea mara hizo sita?
 
Moderator,please pandisha hizi records zetu hapo juu
 
Last edited by a moderator:

Unaweza kuta ni shabiki wa Chelsick tu,timu iliyoanza kupata ramani ya mpira mwaka 2004 baada ya kununuliwa na yule Mrusi! Kabla ya hapo ilikuwa ni timu ya kupambana kuepuka kushuka daraja na akina Leeds Utd! Siwapendi ila nawaheshimu sana Man Utd..! Mafanikio yao hayajawahi kutegemea kununua ubingwa like Chelsee and Man City are Just doing..! Naona wapo kwenye transistion kama tuliopo nayo sisi..!

YNWA...!




cc Ntuzu
 
Last edited by a moderator:
Mara nyingi statistics huwa hazidanganyi mkuu...YNWA!
 
Yes kama kawa......1. Simon mignolet 2. Adam Johnson 3. Jon Flanagan 4. Danny Agger 5. Martin skirtel 6. Steven Gerald. 7. Joe Allen. 8. Jordan henderson 9. Luis Suarez 10. Philipe Cotinho 11. Danny Sturidge. This is anfield
 


Teh Teh Teh Teh Teh!
 
Last edited by a moderator:
Yes kama kawa......1. Simon mignolet 2. Adam Johnson 3. Jon Flanagan 4. Danny Agger 5. Martin skirtel 6. Steven Gerald. 7. Joe Allen. 8. Jordan henderson 9. Luis Suarez 10. Philipe Cotinho 11. Danny Sturidge. This is anfield

Yani hicho kikosi siku Chelsea tukitia timu kitasambaa!
 
Tukumbuke msimu wa 2008/2009 ambao ulikuwa mzuri kwa liverpool.Ingawa haikuchukua ubingwa kwa kumaliza na points 86,points 4 nyuma ya Man united ambayo ndiyo ilichukua ubingwa.

Baada ya msimu huo liverpool ikapotea kabisa kwenye top 4 kwa misimu mitatu mfululizo.

Baada ya mechi 31 msimu huo liverpool ilifikisha points 67.Msimu huu baada ya mechi hizo 31 liva wanazo points 68, points moja zaidi ya points walizokuwa nazo msimu huo wa mwisho kwa mafanikio kabla ya misimu mibaya mitatu iliyofuatia kwa idadi sawa ya mechi 31.

Swali ni je kwa mfanano huo wa points kwa misimu hii miwili tofauti,inawezekana mwaka huu pia ukawa wa mafanikio ya kiasi ya kuweza kuingia kwenye records kama msimu huo wa 2008/2009?
 
msimu ule ligi haikuwa ngumu Kama huu, huu timu 6 zinakimbiza na ule japo tunampenda Benitez aliharibu kwa kupenda kubadilisha mno timu na timu ilikuwa nzuri kuliko ya sasa , ya sasa imekosa mtu Kama Alonso au Kama Yaya Toure, Kama nilivyowahi kusema nyuma hii LFC ya sasa tumetoka mbali Kuwa hapa hakuna hata Media moja ilitegemea LFC ikarudi ilipo hata Kabla Benitez kuja nani alifikiria tutachukua CL .??? Kama timu ndio inajitengeneza basi LFC inatengenezeka uzuri tuna mshukuru Owner na Rogers kuweza kuwabutua nje Carrol na Downing , Hendo kawaonyesha yeye sio Flop japo si Player wa 16m.
 
Hujui ulisemalo ndugu...frankly speaking timu yenu ndo ishaanza ku retard hi yo na deceleration yake ni kubwa mno.

Poleni ambao bado hamuuoni huo ukweli...japo ni ukweli mchungu ila ni UKWELI.


Yule jamaa mtafunaji wa big G alipoaachia madaraka alijuwa timu inahitaji mabadiriko na akasema muungeni mkono kocha mpya atakayekuja kwani alishajuwa kuwa timu ina wazee wengi hivyo alitaka aje kocha mpya aisuke timu kwa wachezaji wake. So far huyu kocha kafanikiwa kupata wachezaji wawili tu na msimu ukiisha ndipo ataisuka upya timu yake. Cha kushangaza Man Utd itachukua ubingwa mwakani ama baada ya mmiaka miwili ijayo Liverpool bado itakuwa inatafuta namna ya kugombania nafasi ya 10 kwenye ligi kama kawaida yao kasoro mwaka huu watakapomaliza nafasi ya 4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…