MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Wakuu, tunaweza tukasema LiverpoolFc, isharudi kwenye ubora wake, kwa kazi nzuri sana BR anayoifanya kwenye Team, ila nadhan umefika muda sasa John. W. Henry ampe support ya kutosha kwenye usajil unaokuja, kama alivyopewa Daglish kipind kile, na ningependa kuona AYRE anaachia ngazi, katucost sana kwenye usajili tangu aje BR, first it was Dempsey, akafanya uzembe jamaa akachukuliwa na Spurs dk za mwisho, then baadae tukashuhudia MK anaenda dortmund under our nose, hivyohivyo ikaja kwa willian na Salah ambao wote walienda ChelshiT, na juz tu tulishuhudia Saga ya Konoplyanka, tukashindwa kukamilisha deal kwa uzembe tu AYRE, ingekuwaje kama BR angewapata wachezaj wote hao???..tungekuwa mbali zaid ya Hapa..nadhan tunahitaj DM na left back mmoja mzuri na AM mmoja wa kutoa competition kwa kina Little phil, luis Alberto na Suso (naskia loan ikiisha kule Almeria, anarud next season). kwa mtazamo wangu nadhan kwa DM atatufaa sana yule Fernando Reges wa FC PORTO, kipind cha usajil january, scout za liverpool zlikuwa zikimfatilia sana, ni mzuri saaaana aisee, nadhan atatoa competition kubwa sana kwa Lucas, na ukiangalia umri wa Our fantastic captain unazid kusogea...Ila Kiukwel BR amefanya kazi kubwa sana, na inapendeza kuona fans wenzetu wa pale ENGLAND wanampa support ya kutosha kama tuvyanyavyo millions of fans across the world.
#RedOrDead ..#YNWA
#RedOrDead ..#YNWA