Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu tunajua wewe ni mkongwe na ni founder wa thread hii lakini isiwe sababu sasa ya kuwa na maringo, tumpm mod lakini sometym wanakuwa busy sana but kitu ambacho kipo ndani ya uwezo wako shabiki mwenzetu unakuja kutukata maini kwa reason ya server. Kama server kujaa ingekuwa imejaa siku nyingi emu kachungulie jukwaa la ''mahaba niuwe'' kila baada ya dk 2 unapostiwa ugoro na hatujasikia uongozi kulalamika wanajaziwa server!!

anataka kulambwa miguu huyo achaneni naye.
siku zote ukweli haufichiki bana hata akileta maringo hawezi kuzuia mvua kwa kujifunika viganja vya mikono.

anataka mumwombe kwa kumsujudia ss kama hataki na akaushe mod anatumiwa pm tuone kama nae atazingua.

KWELI KIKULACHO KINGUONI MWAKO
 
tukishinda mechi ya leo. itakuwa ni hatua kubwa kuelekea kwenye ubingwa.
japokuwa hii mechi ngumu sana
 
Dah mie mwenyewe nimeshangaa alivotukata maini shabiki mwenzetu kweli kikulacho kinguoni mwako!!
 
Hahhahh....

Haya mkuu ngoja no "Copy & Paste"
Ila MOD akijaipangua tusilaumiane,...

#MosKwito !

Fanya ivo mkuu si unaona Asenane walivojipamba kwenye thread yao acha na sie tujipromo kuna madogo wa late 90th hawajui vizuri makubwa iliyofanya liverpool so tutavuta mashabiki wengi zaidi!!
 
anataka kulambwa miguu huyo achaneni naye.
siku zote ukweli haufichiki bana hata akileta maringo hawezi kuzuia mvua kwa kujifunika viganja vya mikono.

anataka mumwombe kwa kumsujudia ss kama hataki na akaushe mod anatumiwa pm tuone kama nae atazingua.

KWELI KIKULACHO KINGUONI MWAKO

.....hahaha!

Sawa mkuu, nimekusoma.

#MosKwito !
 
tukishinda mechi ya leo. itakuwa ni hatua kubwa kuelekea kwenye ubingwa.
japokuwa hii mechi ngumu sana

Mkuu Lincon mara nyingi being at home ni advantage kubwa kuwini the batle hawa jamaa tuliwafurumsha kwao mabao 5 kwa nunge so kazi iliyobaki ni ndogo sana, kama utakumbuka mechi waliyopiga na man city hivi karibuni midfield wote walipaki nyuma wakawa wanapga ndefu kwa Zebedayo lakini mwisho wa siku wakaumbuka. So wanaweza wakeleta kamfumo kao hako leo ila najua kwa BR kitu kidogo sana hicho atafanyia kazi!!
 
Last edited by a moderator:
Fanya ivo mkuu si unaona Asenane walivojipamba kwenye thread yao acha na sie tujipromo kuna madogo wa late 90th hawajui vizuri makubwa iliyofanya liverpool so tutavuta mashabiki wengi zaidi!!

haswaaaaa MKUU wamejiachia sana kuna photo za kumwaga kwenye thread za wenzetu why yetu imedoda bana ikiwezekana tunahitaji kuwekwe na picha za vikosi kipindi hicho tunanyakua makombe ya uefa na ligi fa caling camp

huku nafasi maalam ya kubandika picha ya sherehe za ubingwa 2014 ikiachwa wazi kabisaaaaaaa.
 
Mkuu tunajua wewe ni mkongwe na ni founder wa thread hii lakini isiwe sababu sasa ya kuwa na maringo, tumpm mod lakini sometym wanakuwa busy sana but kitu ambacho kipo ndani ya uwezo wako shabiki mwenzetu unakuja kutukata maini kwa reason ya server. Kama server kujaa ingekuwa imejaa siku nyingi emu kachungulie jukwaa la ''mahaba niuwe'' kila baada ya dk 2 unapostiwa ugoro na hatujasikia uongozi kulalamika wanajaziwa server!!

Take it easy bro, it's done!

Ila tu nawaomba kitu kimoja wewe na mashabiki wenzako wapya wa Liverpool humu;

"Tunataka" muwe active members haswaaa, sio kujitoa kifua mbele Liverpool wakiwa wanashinda tu....

Hii ni moja ya thread zilizokuwa #dhaifu sana humu ndani, [kama ya wale Spurs] until recently mlipoanza dalili za kuwa top four ndio "tunaona" exodus yenu... 🙂

Mkiwa na moto huu, jukwaa la sports litanoga sana kama kina Wacha1, Ntuzu, Mentor, Balantanda, Peasant, pierre.fm . Fm Nzi, Belo, Shedafa, mfarisayo, TIMING, EMT, na wengineo wengi wanavyopeana banters za hapa na pale!

You Will Never Walk Alone 😉
Karibuni sana....

Hahahahaha usiogope Mbu wabongo wengi tunapresha tukifululiza vipigo tunaacha kuangalia mpira kuna braza angu shabiki wa Woman united siku izi hata hafatilii kabisa hii ligi. But kweli inatakiwa tuwe active hata nyakati za majanga we should sapoti our team. YNWA!!!
 
Last edited by a moderator:
haswaaaaa MKUU wamejiachia sana kuna photo za kumwaga kwenye thread za wenzetu why yetu imedoda bana ikiwezekana tunahitaji kuwekwe na picha za vikosi kipindi hicho tunanyakua makombe ya uefa na ligi fa caling camp

huku nafasi maalam ya kubandika picha ya sherehe za ubingwa 2014 ikiachwa wazi kabisaaaaaaa.

......ati?
Mabingwa 2014 ee?!!
Haya bana....

Cc; Nzi, Mentor Wacha1 Balantanda, Wandugu Masanja Belo.... Wakuu, hawa jamaa mnawasikia lakini?

Akheri yake TIMING yeye kimyaaaaaa!!!

#MosKwito !
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha usiogope Mbu wabongo wengi tunapresha tukifululiza vipigo tunaacha kuangalia mpira kuna braza angu shabiki wa Woman united siku izi hata hafatilii kabisa hii ligi. But kweli inatakiwa tuwe active hata nyakati za majanga we should sapoti our team. YNWA!!!

🙂🙂🙂 yataka moyo sana ila inatakiwa sasa na nyie muwe ngangari na hii sredi yenu mpaka izoeleke....

Mkifungwa, mkishinda nyie bananeni humu humu kama Belo na simu yake ya kuchaji, au Shedafa wa Tottenham Spuds maskini.... Jamaa ana moyo kweli, wenzake wote wamehama timu, wanashabikia Man City!!!!
ndetichia upo?!

#MosKwito !
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom