mirraji iddy juma
Member
- Mar 26, 2014
- 7
- 3
GOD BLESS LVERPOOl, A LOT OF THANKS TO ALL WHO SUPPORT THIS BEST CLUB
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimeipenda hii
....khaaa,....!?
mpaka haya [/COLOR] mnataka muwekewe?
mtajaza Bandwith banaa
Mkuu tunajua wewe ni mkongwe na ni founder wa thread hii lakini isiwe sababu sasa ya kuwa na maringo, tumpm mod lakini sometym wanakuwa busy sana but kitu ambacho kipo ndani ya uwezo wako shabiki mwenzetu unakuja kutukata maini kwa reason ya server. Kama server kujaa ingekuwa imejaa siku nyingi emu kachungulie jukwaa la ''mahaba niuwe'' kila baada ya dk 2 unapostiwa ugoro na hatujasikia uongozi kulalamika wanajaziwa server!!
anataka kulambwa miguu huyo achaneni naye.
siku zote ukweli haufichiki bana hata akileta maringo hawezi kuzuia mvua kwa kujifunika viganja vya mikono.
anataka mumwombe kwa kumsujudia ss kama hataki na akaushe mod anatumiwa pm tuone kama nae atazingua.
KWELI KIKULACHO KINGUONI MWAKO

Dah mie mwenyewe nimeshangaa alivotukata maini shabiki mwenzetu kweli kikulacho kinguoni mwako!!
tukishinda mechi ya leo. itakuwa ni hatua kubwa kuelekea kwenye ubingwa.
japokuwa hii mechi ngumu sana
Fanya ivo mkuu si unaona Asenane walivojipamba kwenye thread yao acha na sie tujipromo kuna madogo wa late 90th hawajui vizuri makubwa iliyofanya liverpool so tutavuta mashabiki wengi zaidi!!
Mkuu tunajua wewe ni mkongwe na ni founder wa thread hii lakini isiwe sababu sasa ya kuwa na maringo, tumpm mod lakini sometym wanakuwa busy sana but kitu ambacho kipo ndani ya uwezo wako shabiki mwenzetu unakuja kutukata maini kwa reason ya server. Kama server kujaa ingekuwa imejaa siku nyingi emu kachungulie jukwaa la ''mahaba niuwe'' kila baada ya dk 2 unapostiwa ugoro na hatujasikia uongozi kulalamika wanajaziwa server!!
Mkuu huyo sio shabiki mwenzio..ana hasira zake mwacheni atulie kwanza.
Mkuu huyo sio shabiki mwenzio..ana hasira zake mwacheni atulie kwanza.
Take it easy bro, it's done!
Ila tu nawaomba kitu kimoja wewe na mashabiki wenzako wapya wa Liverpool humu;
"Tunataka" muwe active members haswaaa, sio kujitoa kifua mbele Liverpool wakiwa wanashinda tu....
Hii ni moja ya thread zilizokuwa #dhaifu sana humu ndani, [kama ya wale Spurs] until recently mlipoanza dalili za kuwa top four ndio "tunaona" exodus yenu... 🙂
Mkiwa na moto huu, jukwaa la sports litanoga sana kama kina Wacha1, Ntuzu, Mentor, Balantanda, Peasant, pierre.fm . Fm Nzi, Belo, Shedafa, mfarisayo, TIMING, EMT, na wengineo wengi wanavyopeana banters za hapa na pale!
You Will Never Walk Alone 😉
Karibuni sana....
#MosKwito !
haswaaaaa MKUU wamejiachia sana kuna photo za kumwaga kwenye thread za wenzetu why yetu imedoda bana ikiwezekana tunahitaji kuwekwe na picha za vikosi kipindi hicho tunanyakua makombe ya uefa na ligi fa caling camp
huku nafasi maalam ya kubandika picha ya sherehe za ubingwa 2014 ikiachwa wazi kabisaaaaaaa.
Hahahahaha usiogope Mbu wabongo wengi tunapresha tukifululiza vipigo tunaacha kuangalia mpira kuna braza angu shabiki wa Woman united siku izi hata hafatilii kabisa hii ligi. But kweli inatakiwa tuwe active hata nyakati za majanga we should sapoti our team. YNWA!!!