Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyu Mignolet kwanini hakai kwenye line na hajui kupiga mpira ananiuzi hakuna kuharibu sasa... Mie akirudishiwa kipa sipendi.
 
kumekucha pale, jamani mlokuwa azm wani na azm tuu njooni suoaspot kimeshanuka tayari
 
#hawakumbuki hawa,....!
Sidhani hata kama wanakumbuka nani alikuwa manager wao kabla ya Brendan Rogers 😉


#MosKwito !

Hahahaaa,simply ni King Kenny Dalglish.
Alituacha na kombe huyu mtu la Capital one,huku tukifika fainali ya FA na kufungwa kimizengwe na Chelsea.

"Nlikuwepo":bolt:
 
kumekucha pale, jamani mlokuwa azm wani na azm tuu njooni suoaspot kimeshanuka tayari

Asentuu! Mkuu ushabiki Yanga nimejitoa, nitarudi wakimtimua Kaseja! Acha na timu yangu toka utotoni!
 
Njinoooo tuendelee kuwakimbiza lasivyo watapata nguvu tusipoozeshe hapa Top 4 hiyoooooo ubingwa ni Bonus tu.
 
Sisi tupo sana,mimi nilichelewa kujiunga jf lakini najutahidi kumantain uwepo wangu kwenye hili jukwaa letu.
Kwa shida ama raha,milele nitabaki kuwa liverpool fan.

"Nlikuwepo":bolt:
 
hiii game Leo ni tam balaaa wachezaji WA Liverpool wanamzuka sana
 
Back
Top Bottom