Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mechi bado haijaisha ila point 3 tushachukua na tunaongoza ligi.
mkuu kiroho safi toa pongezi tuuu
ingawa kiroho kinapwita
Gerrard ni sawa kutolewa. Hawezi kucheza 90 min
Sawa consultant
Victor moses galasa tu hamfikii sterling kabisa dogo anajua kukaza huyu bishoo msuka nywele si wa zama zile sijui naye kama umri wake sahihi
Piere. Fm unajuwa katika timu naiheshimu na nilikuwa nawapa moyo na upendo ni Arsenal kuwapa Nguvu mashabiki wenu Thred. Sababu wapo wananizamu Kama wewe ila mara naanza kuona mnatujia na mdomo mchafu Mie sina chuki na Arsenal adui zangu ni United na siku hizi hata Hawana mdomo mchafu hutokuja kunisikia kuongelea timu za watu tena nitaongelea yetu tu na kuhusu Ozil sijamuongelea kwa ubaya jamaa nicole player ila anatakiwa kujikakamua hii ligi ngumu. Kinachonikera mkishinda tunawapa Hongera ila sie game ikiiisha hamji mnakuja na masa zengine Kabisa wakati nyie ndio mliokuwa mnasema ubingwa sio sisi so watu wa Humu wakose a ubingwa bora make kimya kuliko Kuwa mnafiki mtu.teh teh teh teh teh mara hii Ozil kashaingia humu ndani.
Piere. Fm unajuwa katika timu naiheshimu na nilikuwa nawapa moyo na upendo ni Arsenal kuwapa Nguvu mashabiki wenu Thred. Sababu wapo wananizamu Kama wewe ila mara naanza kuona mnatujia na mdomo mchafu Mie sina chuki na Arsenal adui zangu ni United na siku hizi hata Hawana mdomo mchafu hutokuja kunisikia kuongelea timu za watu tena nitaongelea yetu tu na kuhusu Ozil sijamuongelea kwa ubaya jamaa nicole player ila anatakiwa kujikakamua hii ligi ngumu. Kinachonikera mkishinda tunawapa Hongera ila sie game ikiiisha hamji mnakuja na masa zengine Kabisa wakati nyie ndio mliokuwa mnasema ubingwa sio sisi so watu wa Humu wakose a ubingwa bora make kimya kuliko Kuwa mnafiki mtu.