Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

hapa tumechukua point zote 6 na magoli hakika yatafika 10
 
mechi bado haijaisha ila point 3 tushachukua na tunaongoza ligi.
mkuu kiroho safi toa pongezi tuuu
ingawa kiroho kinapwita

Hongereni but muendelee kuwepo siku zote sio mnaibuka kwa msimu tu kama Mvua za Masika.
 
teh teh teh teh teh mara hii Ozil kashaingia humu ndani.
Piere. Fm unajuwa katika timu naiheshimu na nilikuwa nawapa moyo na upendo ni Arsenal kuwapa Nguvu mashabiki wenu Thred. Sababu wapo wananizamu Kama wewe ila mara naanza kuona mnatujia na mdomo mchafu Mie sina chuki na Arsenal adui zangu ni United na siku hizi hata Hawana mdomo mchafu hutokuja kunisikia kuongelea timu za watu tena nitaongelea yetu tu na kuhusu Ozil sijamuongelea kwa ubaya jamaa nicole player ila anatakiwa kujikakamua hii ligi ngumu. Kinachonikera mkishinda tunawapa Hongera ila sie game ikiiisha hamji mnakuja na masa zengine Kabisa wakati nyie ndio mliokuwa mnasema ubingwa sio sisi so watu wa Humu wakose a ubingwa bora make kimya kuliko Kuwa mnafiki mtu.
 

Achana na plastic fans mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…