Duh Belo na ww ulikimbia...mambo yakiwa mabaya tu mbio.
Jukwaa hili mi siappreciate sana hawa jamaa siku wakifungwa huoni mtu hapa.
wewe unaongea sana na hujaelewa..nimesema kuwa in the grand scheme of things we can afford a draw, meaning hamtatukamata..sisi tunaangalia man city match zaidi kuliko yenu.
anyway, subiri mechi..mi mwaka huu nimeacha kuongea, ntaongea mwezi wa tano 🙂
Good luck kesho..Ibra Cadabra mbayaa.
Teh Teh Teh
Osokonoi kumbe hapa wataka tushindane Kwa hoja za kimpira?!!! Teh Teh Teh Mourinho na Eto'o ni kitu kimoja km ulikua hauelewi ndio ufahamu kuanzia Leo!
Alafu kule kuongea Kwa Jose kuna faida sn Kamuulize Mzee Wenger specialist in failure! Teh
Teh Teh farasi Mdogo anaejifunza kukimbia!
Daaa we jamaa unanivunja mbavu uku..hyo fomesheni ni hatari...
Ndg yangu Ntuzu, category imejieleza kwamba ni sport na uzi unahusu Liverpool football club. Nashangaa tena unaliza kama hoja ni zakimpira. He! Ina maana huoni ama hujaelewa? Hakuna ukaribu wowote kati ya eto na domo, I think unafahamu kwamba eto aliishawahi kusema kwamba hatochezea timu inayofundishwa na domo...
eto yuko chelsick kuraise cv yake, na kwa kuwa domo siyo kocha wa kufundisha na kutengeneza vapaji alimchukua eto kwa mkataba wa mwaka 1 aje kufunga wapate ubingwa fastafasta, thats all!
Unahitajika umakini kabla hujaandika chochote. Kama kuongea kwa domo kuna faida, ni kwann amejingatangta na kurudisha lawama kwa mwanahabari aliyevujisha maneno aliyoyatoa kumkashifu eto?
Hatimaye jukwaa limechangamka baada ya kuwa dormant tangu JF ianzishwe
Jaslaws, hiyo ndiyo formation maarufu ya domo. Gemu ya chelsick na aseno watu waliisubiria kwa hamu wakidhani amebadilika kumbe wapi!
Mkuu leo uichaji simu yako mapema ili use unatupatia updates za mechi yenu na Bayern Munich...!
With this current form jukwaa letu lazima lichangamke tu...!
Hawa majamaa wameshaanza kelele...ngoja Crystal Palace na Norwich wawazibe midomo.....hawa majamaa sitaki kabisa wachukue ndoo, ni heri gunners wabebe kuliko loserfools and shitty.
Teh Teh Teh Teh
Haka kajukwaa tunakachangamsha mpk wenyewe wanaona raha!
Kwa kweli zile thread za Man Utd na Man City na Arsenal Nimeshamaliza kz na wao! Yani huko napita tu kusoma hoja zao kuona namna gani wanaota! Lkn ktk hii thread yenu mtachoka wenyewe tu na km mnauwezo njooni kwenye thread yetu kule muone moto Wa hoja!
Kombe la Chelsea maana imezifunga liva, man, asenali na man city. Hicho in kigezo tosha!
Haya kijana wa Mouthrinho...naona like Manager like fans!
Time will tell come May...YNWA.
Kombe la Chelsea maana imezifunga liva, man, asenali na man city. Hicho in kigezo tosha!
Teh Teh Teh
Umeishiwa hoja Mkuu!
Siku tukikutana ndo utajua kama Anfield hoja zipo au hakuna...juzi hapa CP wamekutoa kamasi naona hujajifunza. Subiria Stoke City nao wavunje daraja ndo utajua afu ukija kwetu ni MAKWENZI tu!
YNWA...LFC.
Tuko na fomesheni ya kifaru! Nikushambulia Kwa kwenda mbele!
Teh Teh Teh Teh
Hayo ni maneno yako! Unakumbuka usahili Wa Eto'o kwenda Internazionale chini ya Jose ulikuaje? Na nini Jose alisema baada ya kuwapa Barc Ibrahimovic na yeye kumchukua Eto'o? Km utakua unakumbuka ndio Maana nikasema Eto'o Na Jose ni kitu kimoja! Na uzuri ni kwamba maneno yake yanafanya kz vzr sn Kwa watu km nyie!
Teh Teh Teh Teh!
Yani Naomba siku zikimbie haraka Twende Kwa jogoo tukamchinje kwenye kibanda chake cha YNWA Teh Teh Teh Teh !!!
Siku tukikutana ndo utajua kama Anfield hoja zipo au hakuna...juzi hapa CP wamekutoa kamasi naona hujajifunza. Subiria Stoke City nao wavunje daraja ndo utajua afu ukija kwetu ni MAKWENZI tu!
YNWA...LFC.
Naikubali sana hiyo formation yenu ya kushambulia kama kifaru.Imemsaidia sana tores mpaka sasa anamzidi magoli skrtel...eheheheheheheheeeee