Okhondima
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 1,249
- 1,102
Duh Belo na ww ulikimbia...mambo yakiwa mabaya tu mbio.
Jukwaa hili mi siappreciate sana hawa jamaa siku wakifungwa huoni mtu hapa.
Nadhani mwaka huu na kuendelea utatuona sana,maana malengo yameshatimia mpaka sasa,tunachofanya sasa ni juhudi kuizidi kudra!
"Nlikuwepo":bolt:
Last edited by a moderator: