eheheheheheheee...aombe po kwa foward gani..? Huyo aliyemzidi magoli...aaaakhhhhh, ptuuuuu... mwambie kibabu terry (anayependa kuchukua wake za wenzake)...ehehehehehehee aandae maji ya kujikanda kwa shughuli atakayoipata this wend toka kwa boyz from Liverpool...charlie adam, oussama assaidi na nani tena?....eheheheheee...peter crouch
Ndg yangu Ntuzu mimi siyo hilo kabila ulilolitaja. Na ingawa siyo hilo kabila, nijuavyo mimi inatamkwa Jaluo na siyo jaruo...wenyewe wakikusikia itakuwa balaa...naona bado umeshindwa kutetea hoja yako...eheheheheeee...domo limeponza kichwa...eheheheheheheee
Katika kitu ambacho hakiongopi ni takwimu. The top defender kwasasa ni Seamus Coleman akifuatiwa kwa kariibu with who else..? Martin Skrtel "Jack Bauer"...ehehehehee, wataka nyingine?...martin skrtel 6 goals, Demba Ba 3goals, torres 4goals...eeeeheheheheheheee...ai!
Hajui huyo... anadhani na sisi ni waropokani kama wao na Mouthrinho wao.Tunapanga mipango ya game ijayo sisi bwana.
"Nlikuwepo":bolt:
Hajui huyo... anadhani na sisi ni waropokani kama wao na Mouthrinho wao.Tunapanga mipango ya game ijayo sisi bwana.
"Nlikuwepo":bolt:
Hajui huyo... anadhani na sisi ni waropokani kama wao na Mouthrinho wao.
Teh Teh Teh
Mbona mnaniteta? Tuendelee na mnankasha!
Dah, Siku hizi Usingizi Swaaafii.
LIVERPOOL FOR LIFE.
Teh Teh Teh
Mbona mnaniteta? Tuendelee na mnankasha!
Pole kwa kipigo ndugu yangu... jipe moyo.
Karibu tena,najua PSG kakupa kile kitu ambacho utakipata siku ukija pale Anfield.
Mourinho aliongea sana before hii game,ila wanaojua wanamuonesha vitendo tu sasa.
Karibu anfield.
"Nlikuwepo":bolt:
Pole kwa kipigo ndugu yangu... jipe moyo.
Watashambuliwa na akina Ba, Torres?Asante Mkuu! Sio kujipa moyo! Yani huo Ndio uhakika!
Yani Siku hiyo Psg watashambuliwa km Tsunami
Watashambuliwa na akina Ba, Torres?
Timu yetu haijengwi kwa kutegemea mchezaji mmoja Au wawili Ndio wafunge! Sisi kila mtu anakuchapa! Kwahiyo nikisema watashambuliwa namaanisha timu nzima watashambulia!
Kila mtu anashambulia including Terry and Luiz... I thought the direction matters as well coz wengine wanashambulia anticlockwise kama kwa CP na PSG ilivyotokea.
Anyway ngoja tuone Stoke City ataleta matokeo gani...