Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

eheheheheheheee...aombe po kwa foward gani..? Huyo aliyemzidi magoli...aaaakhhhhh, ptuuuuu... mwambie kibabu terry (anayependa kuchukua wake za wenzake)...ehehehehehehee aandae maji ya kujikanda kwa shughuli atakayoipata this wend toka kwa boyz from Liverpool...charlie adam, oussama assaidi na nani tena?....eheheheheee...peter crouch

Teh Teh Teh

Imekupata hiyo osokonoi
 
Last edited by a moderator:
Ndg yangu Ntuzu mimi siyo hilo kabila ulilolitaja. Na ingawa siyo hilo kabila, nijuavyo mimi inatamkwa Jaluo na siyo jaruo...wenyewe wakikusikia itakuwa balaa...naona bado umeshindwa kutetea hoja yako...eheheheheeee...domo limeponza kichwa...eheheheheheheee
Teh Teh Teh

Mkuu osokonoi Mimi bhana Msukuma Wa Ntuzu sasa Hilo jina Lako nahisi Kua wewe ni jaruo Samahani Lkn km ntakua nimekosea ila Nilipenda tuongee kijaruo kidogo huenda ungenielewa vzr hasa ktk kumfahamu Jose!
 
Last edited by a moderator:
Katika kitu ambacho hakiongopi ni takwimu. The top defender kwasasa ni Seamus Coleman akifuatiwa kwa kariibu with who else..? Martin Skrtel "Jack Bauer"...ehehehehee, wataka nyingine?...martin skrtel 6 goals, Demba Ba 3goals, torres 4goals...eeeeheheheheheheee...ai!
Teh Teh Teh

Imekupata hiyo osokonoi
 
Last edited by a moderator:
Ndg yangu Ntuzu mimi siyo hilo kabila ulilolitaja. Na ingawa siyo hilo kabila, nijuavyo mimi inatamkwa Jaluo na siyo jaruo...wenyewe wakikusikia itakuwa balaa...naona bado umeshindwa kutetea hoja yako...eheheheheeee...domo limeponza kichwa...eheheheheheheee

Teh Teh Teh

Sawa Mkuu!
 
Katika kitu ambacho hakiongopi ni takwimu. The top defender kwasasa ni Seamus Coleman akifuatiwa kwa kariibu with who else..? Martin Skrtel "Jack Bauer"...ehehehehee, wataka nyingine?...martin skrtel 6 goals, Demba Ba 3goals, torres 4goals...eeeeheheheheheheee...ai!

Teh Teh Teh

Osokonoi
 
Mmenikimbia?!! Teh Teh Teh mlifikiri rahisi kubwabwaja? Teh Teh Teh
 
Tunapanga mipango ya game ijayo sisi bwana.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Teh Teh Teh

Mbona mnaniteta? Tuendelee na mnankasha!

Karibu tena,najua PSG kakupa kile kitu ambacho utakipata siku ukija pale Anfield.
Mourinho aliongea sana before hii game,ila wanaojua wanamuonesha vitendo tu sasa.
Karibu anfield.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Pole kwa kipigo ndugu yangu... jipe moyo.

Anajipa moyo kuwa atamtoa PSG wakiwa stamford bridge.Tatizo wanakuwa busy sana kuwavunja moyo mashabiki wa timu pinzani na kocha wao akiwa anawakatisha tamaa wapinzani huku wakisahau kufanya maandalizi ya game ijayo.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Karibu tena,najua PSG kakupa kile kitu ambacho utakipata siku ukija pale Anfield.
Mourinho aliongea sana before hii game,ila wanaojua wanamuonesha vitendo tu sasa.
Karibu anfield.

"Nlikuwepo":bolt:

Teh Teh Teh Teh

Mkuu j4 utamjua Jose ni nani!

Na tarehe 27 mwezi huu utatujua sisi ni timu gani!
 
Watashambuliwa na akina Ba, Torres?

Timu yetu haijengwi kwa kutegemea mchezaji mmoja Au wawili Ndio wafunge! Sisi kila mtu anakuchapa! Kwahiyo nikisema watashambuliwa namaanisha timu nzima watashambulia!
 
Timu yetu haijengwi kwa kutegemea mchezaji mmoja Au wawili Ndio wafunge! Sisi kila mtu anakuchapa! Kwahiyo nikisema watashambuliwa namaanisha timu nzima watashambulia!

Kila mtu anashambulia including Terry and Luiz... I thought the direction matters as well coz wengine wanashambulia anticlockwise kama kwa CP na PSG ilivyotokea.

Anyway ngoja tuone Stoke City ataleta matokeo gani...
 
Dua la Kuku!

Teh Teh Teh
 
Back
Top Bottom