Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Teh Teh Teh Teh
Dua la Kuku!
Teh Teh Teh
Mnashambulia sana aisee had mnasahau goli lenu
Teh Teh Teh
Goli la Terry dhidi ya CP ni kosa Lkn kwa Luiz jana kulikua Hakuna jinsi! Ule mpira ulikua umezidi sn!
Bado Cahil asiposhambulia kinyumenyume cku ya Stoke basi atafanya hivyo cku ya PSG.
Teh Teh Teh Teh
Vijana mna maneno nyie!
Kwahiyo beki zangu wanataka kufikia idadi ya magoli ya Martin Skrtle? Teh Teh Teh ! Dah!
Teh Teh Teh Teh
Vijana mna maneno nyie!
Kwahiyo beki zangu wanataka kufikia idadi ya magoli ya Martin Skrtle? Teh Teh Teh ! Dah!
Angalau yeye anapeleka kwa wapinzani na sio hao wako wanaleta kwenu wenyewe! Huu msimu hakuna mtakachobeba,si ligi wala UCL.
Exactly...!
But in a nonprofit manner.
Teh Teh Teh
Angalau Ka thread kenu kamechangamka Siku hizi!
Ngoja nicheke kama unavyochekaga:
Teh teh teh teh teh teh...!
Gwamahala Teh Teh Teh Teh
Pamoja sn Mkuu! Kesho Mkuu Ndo weekend tutaona karata za timu tatu jinsi zinavyorushwa tukianza na mabingwa Wa kwanza Wa UCL jijini London!
View attachment 149003
"A lot of Football success is in the mind. You Must believe that your the best and then make sure that you are. In my time at Liverpool we always said we had the best two teams in Merseyside, Liverpool and Liverpoll Reserves"- Bill Shankly.
Mkuu MosDef nataka kuwamini kwamba there is Bill Shankly in Brendan Rodgers!!