Zote tatu ni home kiti? Au hiyo Red tu afu hizo Yellow na Black za ugenini?
Hiyo red ndo home kit nadhan..hukuzimis zile yellow kit???..ila nadhan home kit zetu za msimu huu bado ni nzuri zaid..
Understood...!
Badala ya hiyo black wangerudisha zile white bana...c unajua mwakani kuna UCL games.
Can't wait...yaani memories za
Istanbul zimeniijia kabisa.
game ya Leo na zote zilizobakia yatupasu kushinda nakucheza kama final .
wachezaji wakicheza kwa hali na morali kama walivyocheza mechi iliyopita hakika Leo tutashinda.
nafaham game zote zilizobakia ni ngum sana kutabili matokeo lolote laweza tokea yatupasa kukaza buti.
Understood...!
Badala ya hiyo black wangerudisha zile white bana...c unajua mwakani kuna UCL games.
Can't wait...yaani memories za Istanbul zimeniijia kabisa.
Tarehe 27 inakaribia pangeni mipango yenu Uzuri Lkn kuifunga Chelsea hiyo msahau kabisa!
Teh Teh Teh Teh
WestHam Utd Wanawaumiza kichwa?!!!! Teh Teh Teh!
Black kit like Taifa Stars ya Maximo!
Teh Teh Teh Teh
White kit za away game always looks nicely!
Ata Mimi hiyo nyeusi ata kwa timu yetu hua sizipendi kabisa!
Haaaa, yaan Ntuzu unachekesha sana, hao west ham si walikukazia hapo darajan mkatoka 0-0..???
Me kwangu walivyokuja nikawapiga 4-1 pale Anfield...
afu katika mbio za Ubingwa me nashindana na Man city, siyo wewe, ndo maana game yetu na man city next week ndo itaamua kila kitu, as you can see game inavyosubiriwa kwa hamu..
Game yangu na wewe ni kama ntakuwa nacheza na just any other team..

Km utashinda Leo utakua mbele kwa points 2! Nakushangaa sn ndugu yng kuifukiria City wakati point zangu ziko mikononi mwako? Yani nikitua hapo
nakunyonga vibaya na kuchukua
points 3 na wewe kubaki nyuma huko!
Panga mipango ya kuifunga city Na Mimi nakutakia kila laheli ktk hilo Lkn mpango Wa kuifunga Chelsea sahau kabisa! Teh Teh Teh Teh
Big Sam Leo km ataweza akufanyie miujiza Kidogo ya Droo!
Teh Teh Teh Teh
Itakua Imekaa pouwa kweli!
Afu hawa chelsea wanajipaisha.. sie tushindane nao vipi..?game ya man city tu kidgo ndo tunaifikilia no daubt na wao tutawapa haki yao..
Teh Teh Teh Teh
Eti tunajipaisha!
Ebu angalia basi ktk timu kubwa 5 za Engaland nani kiboko Yao
aliewafunga wote!
Man Utd OT tulitoka droo! Daraja akapigwa 3
Arsenal Emirates Droo, Darajani 6
Man City Darajani 2 kwa moja Yani tulimfunga. Na Etihad tukamfunga 1 kwa bila!
Liverpool Darajani tulimpiga 2 kwa moja. Tarehe 27 tunakuja kukupiga tena!
Hiyo spurs Ndio usiseme kabisa!
Sasa ni timu gani ktk hizi 5 za EPL hajafungwa na wenzake Zaidi ya Chelsea?
Teh Teh Teh Teh
Nawashangaeni sn mnavyotubeza na wakati sisi ni kiboko yenu!?!?!
Teh Teh Teh Teh
We chelshit hunisumbui kabisa, ndo maana nakwambia mimi kucheza na wewe, ni sawa sawa na Liverpool vs hull city..Huwez kuniletea madhara yoyote
we na kocha wako Mou, mnategemea kuchukua ubingwa kwa kuskilizia matokeo ya Game zingne!!!!
kama unadhan ntapoteza hata mchezo mmoja, bas unakosea saaaana...
Game ngumu kwangu iliyobakia ni ile ya Man city tu, na Am telling you, nikifanikiwa kuifunga Man city, hakuna mwingne atakayenikamata..
wewe jiandae na nafas ya 3...Afu eti si unajenga team msimu huu!!!!!!????...hihihihiiiihii..
Teh Teh Teh Teh
Eti tunajipaisha!
Ebu angalia basi ktk timu kubwa 5 za Engaland nani kiboko Yao aliewafunga wote!
Man Utd OT tulitoka droo! Daraja akapigwa 3
Arsenal Emirates Droo, Darajani 6
Man City Darajani 2 kwa moja Yani tulimfunga. Na Etihad tukamfunga 1 kwa bila!
Liverpool Darajani tulimpiga 2 kwa moja. Tarehe 27 tunakuja kukupiga tena!
Hiyo spurs Ndio usiseme kabisa!
Sasa ni timu gani ktk hizi 5 za EPL hajafungwa na wenzake Zaidi ya Chelsea?
Teh Teh Teh Teh
Nawashangaeni sn mnavyotubeza na wakati sisi ni kiboko yenu!?!?!
Teh Teh Teh Teh
Teh Teh Teh Teh Teh
Unapanga mipango ya kuifunga City?!!! Ndio wanakuumiza kichwa?!!! Teh Teh Teh Teh! Hao sisi tulisha wapiga mbaya mpk wakawa wadogo km PIRITONI. Teh Teh Teh! Chezea Chelsea Weye ?!!!' Teh Teh Teh! Muulize Bredan Rogers atakuambia sisi kina nani!
kwahyo wewe, crystal palace ni kiboko yako???..kisa tu kaweza kukufunga safar hii????