Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Zote tatu ni home kiti? Au hiyo Red tu afu hizo Yellow na Black za ugenini?

Hiyo red ndo home kit nadhan..hukuzimis zile yellow kit???..ila nadhan home kit zetu za msimu huu bado ni nzuri zaid..
 
Understood...!
Badala ya hiyo black wangerudisha zile white bana...c unajua mwakani kuna UCL games.

Can't wait...yaani memories za Istanbul zimeniijia kabisa.
 
Can't wait...yaani memories za
Istanbul zimeniijia kabisa.

hahahah...Me mwenyewe hizo black sijazikubali sana, Dah!!!..kuhusu UCL umenikuwa ni muda mreeefu sana..Nmekumbuka mbaali saaana aiseee
 
Wakuu,Leo against westham utd ya akina andy caroll na stewart downing! I would prefer Sakho badala ya agger pale nyuma,sakho is strong and yupo poa in air kuliko agger.
 
game ya Leo na zote zilizobakia yatupasu kushinda nakucheza kama final .

wachezaji wakicheza kwa hali na morali kama walivyocheza mechi iliyopita hakika Leo tutashinda.
nafaham game zote zilizobakia ni ngum sana kutabili matokeo lolote laweza tokea yatupasa kukaza buti.
 
Kikosi changu cha ushindi leo. 1: Simon Mignolet 2: Glen Johnson 3: Jon Flanagan 4: Daniel Agger 5: Martin skirtel 6: Lucas Leiva 7: Jordan Henderson 8: Steven Gerald 9: Danny Sturidge 10: Philipe Coutigho 11: Luis Suarez. Sio kwamba natabiri kikosi cha leo ila kwa mtazamo wangu kwa kikosi hicho tunaweza kupata ushindi kwa urahisi zaidi
 
game ya Leo na zote zilizobakia yatupasu kushinda nakucheza kama final .

wachezaji wakicheza kwa hali na morali kama walivyocheza mechi iliyopita hakika Leo tutashinda.
nafaham game zote zilizobakia ni ngum sana kutabili matokeo lolote laweza tokea yatupasa kukaza buti.

Tarehe 27 inakaribia pangeni mipango yenu Uzuri Lkn kuifunga Chelsea hiyo msahau kabisa!

Teh Teh Teh Teh

WestHam Utd Wanawaumiza kichwa?!!!! Teh Teh Teh!
 
Understood...!
Badala ya hiyo black wangerudisha zile white bana...c unajua mwakani kuna UCL games.

Can't wait...yaani memories za Istanbul zimeniijia kabisa.

Black kit like Taifa Stars ya Maximo!

Teh Teh Teh Teh

White kit za away game always looks nicely!

Ata Mimi hiyo nyeusi ata kwa timu yetu hua sizipendi kabisa!
 
Tarehe 27 inakaribia pangeni mipango yenu Uzuri Lkn kuifunga Chelsea hiyo msahau kabisa!

Teh Teh Teh Teh

WestHam Utd Wanawaumiza kichwa?!!!! Teh Teh Teh!

Haaaa, yaan Ntuzu unachekesha sana, hao west ham si walikukazia hapo darajan mkatoka 0-0..???

Me kwangu walivyokuja nikawapiga 4-1 pale Anfield...

afu katika mbio za Ubingwa me nashindana na Man city, siyo wewe, ndo maana game yetu na man city next week ndo itaamua kila kitu, as you can see game inavyosubiriwa kwa hamu..

Game yangu na wewe ni kama ntakuwa nacheza na just any other team..
 
Black kit like Taifa Stars ya Maximo!

Teh Teh Teh Teh

White kit za away game always looks nicely!

Ata Mimi hiyo nyeusi ata kwa timu yetu hua sizipendi kabisa!

Black Kits huwa zinaboaga sana...
 
Haaaa, yaan Ntuzu unachekesha sana, hao west ham si walikukazia hapo darajan mkatoka 0-0..???

Me kwangu walivyokuja nikawapiga 4-1 pale Anfield...

afu katika mbio za Ubingwa me nashindana na Man city, siyo wewe, ndo maana game yetu na man city next week ndo itaamua kila kitu, as you can see game inavyosubiriwa kwa hamu..

Game yangu na wewe ni kama ntakuwa nacheza na just any other team..

well said
 
Afu hawa chelsea wanajipaisha.. sie tushindane nao vipi..?game ya man city tu kidgo ndo tunaifikilia no daubt na wao tutawapa haki yao..
 
Km utashinda Leo utakua mbele kwa points 2! Nakushangaa sn ndugu yng kuifukiria City wakati point zangu ziko mikononi mwako? Yani nikitua hapo nakunyonga vibaya na kuchukua points 3 na wewe kubaki nyuma huko!

Panga mipango ya kuifunga city Na Mimi nakutakia kila laheli ktk hilo Lkn mpango Wa kuifunga Chelsea sahau kabisa! Teh Teh Teh Teh

Big Sam Leo km ataweza akufanyie miujiza Kidogo ya Droo!

Teh Teh Teh Teh

Itakua Imekaa pouwa kweli!
 
Teh Teh Teh Teh

Km utashinda Leo utakua mbele kwa points 2! Nakushangaa sn ndugu yng kuifukiria City wakati point zangu ziko mikononi mwako? Yani nikitua hapo
nakunyonga vibaya na kuchukua
points 3 na wewe kubaki nyuma huko!

Panga mipango ya kuifunga city Na Mimi nakutakia kila laheli ktk hilo Lkn mpango Wa kuifunga Chelsea sahau kabisa! Teh Teh Teh Teh

Big Sam Leo km ataweza akufanyie miujiza Kidogo ya Droo!

Teh Teh Teh Teh
Itakua Imekaa pouwa kweli!

We chelshit hunisumbui kabisa, ndo maana nakwambia mimi kucheza na wewe, ni sawa sawa na Liverpool vs hull city..Huwez kuniletea madhara yoyote

we na kocha wako Mou, mnategemea kuchukua ubingwa kwa kuskilizia matokeo ya Game zingne!!!!

kama unadhan ntapoteza hata mchezo mmoja, bas unakosea saaaana...

Game ngumu kwangu iliyobakia ni ile ya Man city tu, na Am telling you, nikifanikiwa kuifunga Man city, hakuna mwingne atakayenikamata..

wewe jiandae na nafas ya 3...Afu eti si unajenga team msimu huu!!!!!!????...hihihihiiiihii..
 
Afu hawa chelsea wanajipaisha.. sie tushindane nao vipi..?game ya man city tu kidgo ndo tunaifikilia no daubt na wao tutawapa haki yao..

Teh Teh Teh Teh

Eti tunajipaisha!

Ebu angalia basi ktk timu kubwa 5 za Engaland nani kiboko Yao aliewafunga wote!

Man Utd OT tulitoka droo! Daraja akapigwa 3

Arsenal Emirates Droo, Darajani 6

Man City Darajani 2 kwa moja Yani tulimfunga. Na Etihad tukamfunga 1 kwa bila!

Liverpool Darajani tulimpiga 2 kwa moja. Tarehe 27 tunakuja kukupiga tena!

Hiyo spurs Ndio usiseme kabisa!

Sasa ni timu gani ktk hizi 5 za EPL hajafungwa na wenzake Zaidi ya Chelsea?

Teh Teh Teh Teh

Nawashangaeni sn mnavyotubeza na wakati sisi ni kiboko yenu!?!?!

Teh Teh Teh Teh
 
Teh Teh Teh Teh

Eti tunajipaisha!

Ebu angalia basi ktk timu kubwa 5 za Engaland nani kiboko Yao
aliewafunga wote!

Man Utd OT tulitoka droo! Daraja akapigwa 3

Arsenal Emirates Droo, Darajani 6

Man City Darajani 2 kwa moja Yani tulimfunga. Na Etihad tukamfunga 1 kwa bila!

Liverpool Darajani tulimpiga 2 kwa moja. Tarehe 27 tunakuja kukupiga tena!

Hiyo spurs Ndio usiseme kabisa!

Sasa ni timu gani ktk hizi 5 za EPL hajafungwa na wenzake Zaidi ya Chelsea?

Teh Teh Teh Teh

Nawashangaeni sn mnavyotubeza na wakati sisi ni kiboko yenu!?!?!

Teh Teh Teh Teh

kwahyo wewe, crystal palace ni kiboko yako???..kisa tu kaweza kukufunga safar hii????
 
We chelshit hunisumbui kabisa, ndo maana nakwambia mimi kucheza na wewe, ni sawa sawa na Liverpool vs hull city..Huwez kuniletea madhara yoyote

we na kocha wako Mou, mnategemea kuchukua ubingwa kwa kuskilizia matokeo ya Game zingne!!!!

kama unadhan ntapoteza hata mchezo mmoja, bas unakosea saaaana...

Game ngumu kwangu iliyobakia ni ile ya Man city tu, na Am telling you, nikifanikiwa kuifunga Man city, hakuna mwingne atakayenikamata..

wewe jiandae na nafas ya 3...Afu eti si unajenga team msimu huu!!!!!!????...hihihihiiiihii..

Teh Teh Teh Teh Teh

Unapanga mipango ya kuifunga City?!!! Ndio wanakuumiza kichwa?!!! Teh Teh Teh Teh! Hao sisi tulisha wapiga mbaya mpk wakawa wadogo km PIRITONI. Teh Teh Teh! Chezea Chelsea Weye ?!!!' Teh Teh Teh! Muulize Bredan Rogers atakuambia sisi kina nani!
 
Teh Teh Teh Teh

Eti tunajipaisha!

Ebu angalia basi ktk timu kubwa 5 za Engaland nani kiboko Yao aliewafunga wote!

Man Utd OT tulitoka droo! Daraja akapigwa 3

Arsenal Emirates Droo, Darajani 6

Man City Darajani 2 kwa moja Yani tulimfunga. Na Etihad tukamfunga 1 kwa bila!

Liverpool Darajani tulimpiga 2 kwa moja. Tarehe 27 tunakuja kukupiga tena!

Hiyo spurs Ndio usiseme kabisa!

Sasa ni timu gani ktk hizi 5 za EPL hajafungwa na wenzake Zaidi ya Chelsea?

Teh Teh Teh Teh

Nawashangaeni sn mnavyotubeza na wakati sisi ni kiboko yenu!?!?!

Teh Teh Teh Teh

Afu hiyo spurs, itoe katka team 5 bora kwenye ule msimamo wa EPL kwa sasa..
 
Teh Teh Teh Teh Teh

Unapanga mipango ya kuifunga City?!!! Ndio wanakuumiza kichwa?!!! Teh Teh Teh Teh! Hao sisi tulisha wapiga mbaya mpk wakawa wadogo km PIRITONI. Teh Teh Teh! Chezea Chelsea Weye ?!!!' Teh Teh Teh! Muulize Bredan Rogers atakuambia sisi kina nani!

Mtu anaeniumiza kichwa katka mbio za ubingwa, lazima aniumize kichwa, asa si nitakuwa mjinga kama nkiumiza kichwa kuhusu team kama chelsea..
 
kwahyo wewe, crystal palace ni kiboko yako???..kisa tu kaweza kukufunga safar hii????

Teh Teh Teh Teh

Kwani goli alifunga mchezaji gani vile Wa Crystal Palace?!!! Teh Teh Teh! Crystal Palace were gifted the goal by John Terry! Teh Teh Teh Teh Teh

Ebu angalia raha ligi msimu huu! Wale Gunners wanagombania nafasi ya kucheza UCL next season na Everton baada ya kuongoza ligi kwa Muda mrefu sn! Teh Teh Teh Teh!
 
Back
Top Bottom