Afu hiyo spurs, itoe katka team 5 bora kwenye ule msimamo wa EPL kwa sasa..
Teh Teh Teh Teh
Kwani goli alifunga mchezaji gani vile Wa Crystal Palace?!!! Teh Teh Teh! Crystal Palace were gifted the goal by John Terry! Teh Teh Teh Teh Teh
Ebu angalia raha ligi msimu huu! Wale Gunners wanagombania nafasi ya kucheza UCL next season na Everton baada ya kuongoza ligi kwa Muda mrefu sn! Teh Teh Teh Teh!
Mtu anaeniumiza kichwa katka mbio za ubingwa, lazima aniumize kichwa, asa si nitakuwa mjinga kama nkiumiza kichwa kuhusu team kama chelsea..
Kwi Kwi Kwi Kwi
Mkuu huumizi kichwa kwa timu kiboko yenu!!! Nafurahi sn warahi!
Hahahahahahahahahahahah...Ntuzu,umenichekesha sana Aiseee..
Ni kma nyie mnavogombea namba mbili na man city...Teh Teh Teh Teh
Kwani goli alifunga mchezaji gani vile Wa Crystal Palace?!!! Teh Teh Teh! Crystal Palace were gifted the goal by John Terry! Teh Teh Teh Teh Teh
Ebu angalia raha ligi msimu huu! Wale Gunners wanagombania nafasi ya kucheza UCL next season na Everton baada ya kuongoza ligi kwa Muda mrefu sn! Teh Teh Teh Teh!
Mkuu ntuzu inaelekea adui yko mnaegobea nae namba mbili bado haujamfahamu...wew vita yako ipo kwa man city mnagombea namba mbili..
Kama we kiboko yangu kwasababu tu, umenifunga mara ya kwanza, bas hata crystal palace ni kiboko yako kwa sababu alikufunga juzi juzi tu hapa..
I've said! CP were gifted the goal by JT! Kwahiyo sio kiboko yetu!
Ni kma nyie mnavogombea namba mbili na man city...
Liverpool wakichukua dis year mpaka miaka 50 ijao
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
lakini mwisho wa game, scoreboard ilionesha CP 1-0 CHE, na CP ndo walipata hizo point 3...
Mimi wewe Liverpool Ndio nataka nkushughulikie kwasababu bado niko na biashara na wewe! Nakushangaa unavyonibeza!
Kwahiyo sio kiboko yetu! unafahamu ZAWADI?
kama ingekuwa zawad JT nae angeshangilia basi..
Teh Teh Teh
Hilo nalo NENO! Kwi Kwi Kwi!
Me naCompete na team ambayo unategemea matokeo yake kuchukua ubingwa (man city), sicompete na team inayotegemea matokeo ya Team zingne ili kuchukua ubingwa..