dah! hawa west wanakaza balaa
MKUU mbona mm naona game kama nyeupe sana tukishindwa kushinda ni uzembe wetu tuuu.
tukifanya kashikashi za maana 3 tuu lzm tupate goli yabidi mpaka half time tuwe tunaongoza
Wamepewa goli hapa.
Moja moja mapumziko hapa.
"Nlikuwepo":bolt:
captaiiiiinnnnnnnn goooooooooo liver pool 1
Suarez MZEE WA mipango
Mbona husemi mmepewa penati
Mbona husemi mmepewa penati
Wamepewa goli hapa.
Moja moja mapumziko hapa.
"Nlikuwepo":bolt: