Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

dah! hawa west wanakaza balaa

MKUU mbona mm naona game kama nyeupe sana tukishindwa kushinda ni uzembe wetu tuuu.

tukifanya kashikashi za maana 3 tuu lzm tupate goli yabidi mpaka half time tuwe tunaongoza
 
MKUU mbona mm naona game kama nyeupe sana tukishindwa kushinda ni uzembe wetu tuuu.

tukifanya kashikashi za maana 3 tuu lzm tupate goli yabidi mpaka half time tuwe tunaongoza

Bado hatujatulia,.
Tuta hilo.

"Nlikuwepo":bolt:
 
captaiiiiinnnnnnnn goooooooooo liver pool 1

Suarez MZEE WA mipango
 
Hivi Gerrard yeye magoli yake ya penalti tu? Naona huwa anaombea penalti kila mechi
 
Wamepewa goli hapa.
Moja moja mapumziko hapa.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Back
Top Bottom