Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

hawajapewa goal, ule ni uzembe wa Mignolet, na kama umemfatilia makosa yake ndo kila siku hayohayo, sawa alichezewa faulo, lakin alitkiwa aliact fasta kama kipa, Anazingua sana Mignolet,

Ile ilikuwa foul, Carol kamshika mkono Mignolet waziwazi sema goli likishakubalika goli ndiyo basi hakuna wa kureverse
 
hawajapewa goal, ule ni uzembe wa Mignolet, na kama umemfatilia makosa yake ndo kila siku hayohayo, sawa alichezewa faulo, lakin alitkiwa aliact fasta kama kipa, Anazingua sana Mignolet,
Mie ananiuzi kipa ila ni foul na vipi mshika kibendera anasema kwa mdomo foul ila refa analazimisha goli? Haya bana Mie yangu macho ni kalale Mie au nitizame Formula1.
 
Sikubaliani kuwa ule ni uzembe wa Mignolet.Amechezewa foul ya wazi na Caroll wewe unaita uzembe?

Alitakiwa aliact faster kivipi kama bila matarajio amechezewa kama vile.Kama ni uzembe basi labda ni uzembe wa kuchezewa foul!
 
Mignolet ule mpira alitakiwa aufate kwa nguvu sana, kwasababu kwenye kugombania mpira yale mambo yanatokea kila siku, na ndo hayo makosa yake ya kila siku,
 
Ile foul kaka, angalia mpira usikimbie
 
hawajapewa goal, ule ni uzembe wa Mignolet, na kama umemfatilia makosa yake ndo kila siku hayohayo, sawa alichezewa faulo, lakin alitkiwa aliact fasta kama kipa, Anazingua sana Mignolet,

ulitaka alushe ngumi au amvamie refa MKUU .
sote tumeona alikuwa analalama
 
Sikubaliani kuwa ule ni uzembe wa Mignolet.Amechezewa foul ya wazi na Caroll wewe unaita uzembe?

Alitakiwa aliact faster kivipi kama bila matarajio amechezewa kama vile.Kama ni uzembe basi labda ni uzembe wa kuchezewa foul!

fatilia game za liverpool msimu huu, hayo ndo makosa ya mignolet kila siku, Katka kugombania mpira wa kona lolote linaweza likatokea
 
Mignolet ule mpira alitakiwa aufate kwa nguvu sana, kwasababu kwenye kugombania mpira yale mambo yanatokea kila siku, na ndo hayo makosa yake ya kila siku,
Angetoa kwa ngumi yasingetokea tena refa ndio angesema foul.
 
presha jamani presha tukipata bao la 2 halika hata mate yatashuka maana hawa west ham naona kama wamezinduka now .

sioni mipango ya ushindi kwa liver
 
naona liver wamepooza sana aiseee.
hapa yabidi kocha afanye sub kabla mambo hayajaharibika
 
Ni kama vile refa alikuwa anatafuta opportunity ya kubalance kosa alilofanya dhidi ya liver...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…