Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawajapewa goal, ule ni uzembe wa Mignolet, na kama umemfatilia makosa yake ndo kila siku hayohayo, sawa alichezewa faulo, lakin alitkiwa aliact fasta kama kipa, Anazingua sana Mignolet,
Mie ananiuzi kipa ila ni foul na vipi mshika kibendera anasema kwa mdomo foul ila refa analazimisha goli? Haya bana Mie yangu macho ni kalale Mie au nitizame Formula1.hawajapewa goal, ule ni uzembe wa Mignolet, na kama umemfatilia makosa yake ndo kila siku hayohayo, sawa alichezewa faulo, lakin alitkiwa aliact fasta kama kipa, Anazingua sana Mignolet,
hawajapewa goal, ule ni uzembe wa Mignolet, na kama umemfatilia makosa yake ndo kila siku hayohayo, sawa alichezewa faulo, lakin alitkiwa aliact fasta kama kipa, Anazingua sana Mignolet,
Mie ananiuzi kipa ila ni foul na vipi mshika kibendera anasema kwa mdomo foul ila refa analazimisha goli? Haya bana Mie yangu macho ni kalale Mie au nitizame Formula1.

Sikubaliani kuwa ule ni uzembe wa Mignolet.Amechezewa foul ya wazi na Caroll wewe unaita uzembe?
Alitakiwa aliact faster kivipi kama bila matarajio amechezewa kama vile.Kama ni uzembe basi labda ni uzembe wa kuchezewa foul!
Angetoa kwa ngumi yasingetokea tena refa ndio angesema foul.Mignolet ule mpira alitakiwa aufate kwa nguvu sana, kwasababu kwenye kugombania mpira yale mambo yanatokea kila siku, na ndo hayo makosa yake ya kila siku,
sturridge yupo out of the Game kabisa,
ushindi lazima
Wote SSS hawako vizuri leo
sturridge utulivu zero kabisa..