Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka wewe ni Arsenal ama Chelsea.
"Nlikuwepo":bolt:
Wanahangaika hao wote, waache wakimbizane huko mchangani
Haka kathread kamechangamka Kweli!
Teh Teh Teh! Siku jogoo wakimnyonyoa Mkia Sijui katakua hivi hivi? Au Ndio katakua km Ka wale jirani zangu wanaogombania nafasi ya 4 na Everton ! Teh Teh Teh Teh!
Plastic fans
Jogoo ana manyoya ya chuma... hanyonyoki ng'o. Chezeiya BR wewe...?!
fainal ya EPL next mechi ndio itaamua na kutoa mwelekeo wa nani anaweza kunyakua kombea la EPL
game kati ya liverpool na man city hakika itakuwa ngum sana kwa liverpool ila bila hiyana twahitaji ushindi katika mechi hiyo
ukitegemea tutakuwa nyumbani lazima tushinde aisee.
Khe Khe Khe Khe
Mnaweza pata Ushindi kwa city Au droo Lkn kwa Chelsea hiyo msahau kabisa!
Khe Khe Khe Khe
Mnaweza pata Ushindi kwa city Au droo Lkn kwa Chelsea hiyo msahau kabisa!
Baada ya ushindi wa mbinde jana,tunafocus kwenye game inayofuata and thanks god hatukupa majeruhi yoyote tunawasubilia mancity waje tupambane..
Mkuu ntuzu tumeshakwambia nyinyi amtupi tabu..ni wa kawaida sana man city kidogo wanatupa pressure tusubilie j2 tuone game itakuaje..!!
mm naigopa man city zaidi ya Chelsea MKUU kwanza tutakutana nao game 1 mwishoni kabla ya kumaliza ligi.
siwahofii sana Chelsea zaidi ya man city.
chelsea ana uefa anauwezekano mkubwa sana wakupoteza game kwenye ligi namuombea asonge kwenye uefa
nimtazamo wangu