Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Haka kathread kamechangamka Kweli!

Teh Teh Teh! Siku jogoo wakimnyonyoa Mkia Sijui katakua hivi hivi? Au Ndio katakua km Ka wale jirani zangu wanaogombania nafasi ya 4 na Everton ! Teh Teh Teh Teh!
 
Hongereni Liverpool kwa Ushindi wenu!

Ntuzu asante kwa hongera yako...now our focus goes to Man City!

By the way ilikuwa game ya pressure kama ile ya Sunderland.
 
Last edited by a moderator:

Jogoo ana manyoya ya chuma... hanyonyoki ng'o. Chezeiya BR wewe...?!
 
fainal ya EPL next mechi ndio itaamua na kutoa mwelekeo wa nani anaweza kunyakua kombea la EPL
game kati ya liverpool na man city hakika itakuwa ngum sana kwa liverpool ila bila hiyana twahitaji ushindi katika mechi hiyo
ukitegemea tutakuwa nyumbani lazima tushinde aisee.
 
Dah!! Aisee..blood pressure, heart attacks..roho yangu mie..jana, nilidhani ile mechi itakuwa draw kabisa..lakini we prevailed.

Next week pale Anfield zidi ya Man City itakuwa vita..ndo the most important game for over the last 20 years..yaani si imagine itakuaje..ile cup final, more than a cup final..more than a game.

BRING THEM ON!!!!!!
 
Plastic fans

Mkuu, Liverpool siyo Manure, hatuna washabiki wa plastic. Sie wengine tulianza kuwa washabiki wa Liver toka mwaka Assnol walipotwaa UCL kwa mara ya mwisho (kama huo mwaka upo)! Washabiki wa plastic wako manure, wanachojua ni SAF na ushindi tu, hawajui kushindwa. sisi tunajua vyote; Billy Shankly, UCL 5x champs, kuchukiwa na FA, kukosa ubingwa 24 yrs, nk. Ukikuta mtu anashabikia liver basi ujue huyo ni shabiki wa kweli. YNWA.
 
Khe Khe Khe Khe

Mnaweza pata Ushindi kwa city Au droo Lkn kwa Chelsea hiyo msahau kabisa!
 
Khe Khe Khe Khe

Mnaweza pata Ushindi kwa city Au droo Lkn kwa Chelsea hiyo msahau kabisa!

Mkuu ntuzu tumeshakwambia nyinyi amtupi tabu..ni wa kawaida sana man city kidogo wanatupa pressure tusubilie j2 tuone game itakuaje..!!
 
Baada ya ushindi wa mbinde jana,tunafocus kwenye game inayofuata and thanks god hatukupa majeruhi yoyote tunawasubilia mancity waje tupambane..
 
Khe Khe Khe Khe

Mnaweza pata Ushindi kwa city Au droo Lkn kwa Chelsea hiyo msahau kabisa!

mm naigopa man city zaidi ya Chelsea MKUU kwanza tutakutana nao game 1 mwishoni kabla ya kumaliza ligi.
siwahofii sana Chelsea zaidi ya man city.

chelsea ana uefa anauwezekano mkubwa sana wakupoteza game kwenye ligi namuombea asonge kwenye uefa

nimtazamo wangu
 
Baada ya ushindi wa mbinde jana,tunafocus kwenye game inayofuata and thanks god hatukupa majeruhi yoyote tunawasubilia mancity waje tupambane..

MKUU sio ushindi wa mbinde niushindi kama ushindi mwingine tuu au ulitaka tumnyuke mtu gori 5 bila??
chamhim ni 3 point haijalishi zimepatikanaje .kwaushindi wa aina gani
 
Against Man City ndo itakuwa gemu itakayoamua mustakabali...but our trust is in BR, the master tactician wa msimu huu!

YNWA...!
 
Mkuu ntuzu tumeshakwambia nyinyi amtupi tabu..ni wa kawaida sana man city kidogo wanatupa pressure tusubilie j2 tuone game itakuaje..!!

Khe Khe Khe Khe

Ile iliyozifunga timu kubwa zote mnaiona ya kawaida!

Khe Khe Khe Khe

Katika timu ya City,Man Utd,Arsnal, na Liverpool, ni nani aliefunga Chelsea msimu huu Wa EPL? Iwe ugenini Au nyumbani?

Khe Khe Khe Khe!

Mnachekesha nyie!
 
Kwakua Dua zako unatuombea tusonge mbele na Mimi nasema Amina! Lkn mbali ya hizo Dua zako! Sisi wenyewe Uwezo Wa kusonga mbele Upo tena Mkubwa sn!

Mwaka Jana wakati Jose Yuko Madrid, ktk nusu final alifungwa 4 kwa moja na Dotmond! Lkn Dotmond walipofika Spain walifungwa 2 bila! Sasa Hii game ni km ya B Dotmond ingaw Hii inawakutanisha Chelsea na Psg! Kwa hiyo PSG kufungwa goli 2 bila Au Zaidi huo uwezekano Upo Mkubwa sn!

Leo ni j3 Kesho ni j4. Yani mapema kabisa Ntakua ktk thread yetu kule!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…