sina MAJERUHI kama Arsenal mimi
Afu kama hujui, ni kwamba zmebak game 5 tu, 2 away, 3 home..
Achana na PLASTIC FANS hao, wameanza kushabikia mpira juzi tu..
mkuu umeshau kumwambia huyo Ntuzu na mwenzie agosti 8 kuwa hao chelshit wamejulikana zaidi wakati wa huyo mreno mwenye maneno mengi kama mwanamke wa kizaramo, na anabembua midomo kama Malaya wa kule Jolly, hao ni mashabiki wa kocha na sio team,Na ndo huyohuyo aliyebakiza magoak ma3 tu ya kuvunja Records zote za mastraika waliowah kucheza hapo EPL..na skumnunua kwa £50mill...
bwanamdogo ameshakua, sio mtoto tenalabda ang'ate mtu tena...mfungeni mdomo huyo suarez:tape:
wewe umeanza lini?
mbona husemi?
nilifikiri unatumia kichwa kufikiri; kumbe????????????
matusi ya nini sasa; jibu hoja kwa hoja. LIVERPOOL timu kongwe sawa;..lakini CHELSEA TIMU BORA:
24 yrs of the PREMIER LEAGUE ..Liverpool has ZERO title.
hiyo timu umewahi kushangilia ushindi gani wewe kwa miaka yote hiyo 24?
Yaani tangu mpira uanze kuonyeshwa LIVE hapa TANZANIA hukuna mwaka LIVERPOOL wamewahi kuchukua ubingwa wa ligi ya uingereza. ajabu sana...poleni lakini.:redface:
chelsea fc - bingwa 2005.
Nijibu hili swali...
kwa msim huu kat ya Liverpool na Chelshit ipi ni team bora kwenye league????
Ndo maana nakwambia we ni plastic fan aisee
yaan umesahau kuwa Chelshit ilisubiria Almost 55years mpk kuja kubeba league title...
Kwa mchezaji mmoja mmoja mnatuzidi...hatukatai depth ya kikosi chenu ni kubwa kulinganisha na sisi.
But uelewe cha muhimu ni teamwork plus utaalamu wa mbinu za mwalimu neo vimetufikisha hapa...na hilo lipo wazi kabisa kwa mpenda mpira yeyote duniani anayefuatilia EPL.
Pale Anfield kitakachowafunga ni determination ya wachezaji wetu coz wananjaa ya mafanikio kuliko maelezo...as compared na wachezaji wenu!
Let 27 come...let Chelsea come.
We gonna teach you guys a lesson you will never forget... we are mentally very prepared than EVER!
YNWA...!
nilifikiri unatumia kichwa kufikiri; kumbe????????????
matusi ya nini sasa; jibu hoja kwa hoja. LIVERPOOL timu kongwe sawa;..lakini CHELSEA TIMU BORA:
Teh Teh Teh Teh
Umekubali Kua kwa mchezaji mmoja mmoja tuko Vzr Zaidi yenu! Basi Hiyo ndio silaha yetu kubwa!
Na pia Jose ni kocha Mwenye mbinu nyingi Zaidi ya Brendan Rodgers!
Jose mbinu yake kuu ni kupaki basi tu...!
Brendan ni kichwa kile acha kabisa...JM angekuwa kichwa kwa depth mliyonayo mpaka saizi gemu 5 zimebaki mngekuwa mshatangaza ubingwa mkuu.
José kaishiwa kabaki kubwabwaja tu...BR ndo kichwa pale EPL kwa sasa! Chukua hiyo...
Umri siyo hoja sana coz anaweza kuwa ameanza kushabikia akiwa 8 yers...kwahiyo kama ana 30 yrs ina maana ni mshabiki for the past 22 years!Una umri gani Mkuu?
Tungeweza kupaki basi kwa Man City pale Etihad, Tungeweza kupaki basi kwa Arsenal pale Emirates! Mpira Wa kupaki basi hatuchezi na Jose hafundishi Siku hizi!
Iwe home au away tunatoka kushambulia goli!
Ata km tukutane na timu nzuri kiasi gani