Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Na ndo huyohuyo aliyebakiza magoak ma3 tu ya kuvunja Records zote za mastraika waliowah kucheza hapo EPL..na skumnunua kwa £50mill...
mkuu umeshau kumwambia huyo Ntuzu na mwenzie agosti 8 kuwa hao chelshit wamejulikana zaidi wakati wa huyo mreno mwenye maneno mengi kama mwanamke wa kizaramo, na anabembua midomo kama Malaya wa kule Jolly, hao ni mashabiki wa kocha na sio team,
 
Last edited by a moderator:
nilifikiri unatumia kichwa kufikiri; kumbe????????????

matusi ya nini sasa; jibu hoja kwa hoja. LIVERPOOL timu kongwe sawa;..lakini CHELSEA TIMU BORA:

24 yrs of the PREMIER LEAGUE ..Liverpool has ZERO title.
hiyo timu umewahi kushangilia ushindi gani wewe kwa miaka yote hiyo 24?

Yaani tangu mpira uanze kuonyeshwa LIVE hapa TANZANIA hukuna mwaka LIVERPOOL wamewahi kuchukua ubingwa wa ligi ya uingereza. ajabu sana...poleni lakini.:redface:

wewe umeanza lini?

mbona husemi?

Mkuu, huwez kujfananisha na mm katka suala nzma la ushabik wa huu mpira wa Miguu..

sjui kwako wewe umeanza lin, lakin kwa umri wangu tu, Naweza nkakwambia nmeanza muda sana kuwa KOP..

Ndo maana skuihama kipind kifup ilichoyumba au kukaa 23 years bila League Title, tangu wakat ule wa 1990..

A lot of players wamekuja na kuondoka lakin bdo nilibak..nahisi wewe, Una miaka 10 au less tangu uanze ushabik...i mean kuanzia 2004..
 
nilifikiri unatumia kichwa kufikiri; kumbe????????????

matusi ya nini sasa; jibu hoja kwa hoja. LIVERPOOL timu kongwe sawa;..lakini CHELSEA TIMU BORA:

Nijibu hili swali...

kwa msim huu kat ya Liverpool na Chelshit ipi ni team bora kwenye league????
 
24 yrs of the PREMIER LEAGUE ..Liverpool has ZERO title.
hiyo timu umewahi kushangilia ushindi gani wewe kwa miaka yote hiyo 24?

Yaani tangu mpira uanze kuonyeshwa LIVE hapa TANZANIA hukuna mwaka LIVERPOOL wamewahi kuchukua ubingwa wa ligi ya uingereza. ajabu sana...poleni lakini.:redface:

Ndo maana nakwambia we ni plastic fan aisee

yaan umesahau kuwa Chelshit ilisubiria Almost 55years mpk kuja kubeba league title...
 
Kwa mchezaji mmoja mmoja mnatuzidi...hatukatai depth ya kikosi chenu ni kubwa kulinganisha na sisi.

But uelewe cha muhimu ni teamwork plus utaalamu wa mbinu za mwalimu neo vimetufikisha hapa...na hilo lipo wazi kabisa kwa mpenda mpira yeyote duniani anayefuatilia EPL.

Pale Anfield kitakachowafunga ni determination ya wachezaji wetu coz wananjaa ya mafanikio kuliko maelezo...as compared na wachezaji wenu!

Let 27 come...let Chelsea come.
We gonna teach you guys a lesson you will never forget... we are mentally very prepared than EVER!

YNWA...!

Teh Teh Teh Teh

Umekubali Kua kwa mchezaji mmoja mmoja tuko Vzr Zaidi yenu! Basi Hiyo ndio silaha yetu kubwa!

Na pia Jose ni kocha Mwenye mbinu nyingi Zaidi ya Brendan Rodgers!
 
nilifikiri unatumia kichwa kufikiri; kumbe????????????

matusi ya nini sasa; jibu hoja kwa hoja. LIVERPOOL timu kongwe sawa;..lakini CHELSEA TIMU BORA:

Teh Teh Teh Teh

Mkuu agosti 8 big up sn Mkuu!

Naona unapambana na hao Liverpool

Du mwanangu leo nilikua Ktk mambo ya habari njema! Lkn tuko Pamoja!

Hawa wanapiga kelele tu Lkn ukweli wanaufahamu!
 
Last edited by a moderator:
mkuu umeshau kumwambia huyo Ntuzu na mwenzie agosti 8 kuwa hao chelshit wamejulikana zaidi wakati wa huyo mreno mwenye maneno mengi kama mwanamke wa kizaramo, na anabembua midomo kama Malaya wa kule Jolly, hao ni mashabiki wa kocha na sio team,

Una umri gani Mkuu?
 
Last edited by a moderator:
Teh Teh Teh Teh

Umekubali Kua kwa mchezaji mmoja mmoja tuko Vzr Zaidi yenu! Basi Hiyo ndio silaha yetu kubwa!

Na pia Jose ni kocha Mwenye mbinu nyingi Zaidi ya Brendan Rodgers!

Jose mbinu yake kuu ni kupaki basi tu...!

Brendan ni kichwa kile acha kabisa...JM angekuwa kichwa kwa depth mliyonayo mpaka saizi gemu 5 zimebaki mngekuwa mshatangaza ubingwa mkuu.

José kaishiwa kabaki kubwabwaja tu...BR ndo kichwa pale EPL kwa sasa! Chukua hiyo...
 
Tungeweza kupaki basi kwa Man City pale Etihad, Tungeweza kupaki basi kwa Arsenal pale Emirates! Mpira Wa kupaki basi hatuchezi na Jose hafundishi Siku hizi!

Iwe home au away tunatoka kushambulia goli!

Ata km tukutane na timu nzuri kiasi gani
 
Una umri gani Mkuu?
Umri siyo hoja sana coz anaweza kuwa ameanza kushabikia akiwa 8 yers...kwahiyo kama ana 30 yrs ina maana ni mshabiki for the past 22 years!

Sema kingine...
 
Tungeweza kupaki basi kwa Man City pale Etihad, Tungeweza kupaki basi kwa Arsenal pale Emirates! Mpira Wa kupaki basi hatuchezi na Jose hafundishi Siku hizi!

Iwe home au away tunatoka kushambulia goli!

Ata km tukutane na timu nzuri kiasi gani

Subiri leo usiku...!
 
mkuu umeshau kumwambia huyo Ntuzu na mwenzie agosti 8 kuwa hao chelshit wamejulikana zaidi wakati wa huyo mreno mwenye maneno mengi kama mwanamke wa kizaramo, na anabembua midomo kama Malaya wa kule Jolly, hao ni mashabiki wa kocha na sio team,

hahahahahahah, Hatariiiiiiii..

Narudia kila siku kusema kuwa Diehard fans wa chelshit wapo pale london tu, Huku wamejaa Plastic fans kibao tu, ambao walizihama team zao za kabla na kukimbilia chelsea, Ni kama Mashabik wa Man shitty sahv..

Bongo hapa kuwa watu wanashabikia Newcastle utd na Sunderland tangu kitambo saaaana...

Hawa watoto wa Mourinho Era wasikisumbue...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom