Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Teh Teh Teh Teh

Mkuu agosti 8 big up sn Mkuu!

Naona unapambana na hao Liverpool

Du mwanangu leo nilikua Ktk mambo ya habari njema! Lkn tuko Pamoja!

Hawa wanapiga kelele tu Lkn ukweli wanaufahamu!

ukwel upi Ntuzu???

Tuambieni hapa msimu huu kati ya Liverpool na Chelshit ni ipi team bora???
 
Last edited by a moderator:

Hahahaha! Nimecheka kweli kwamba domo la kizaramo mbinu zake kuu ni kupaki bus!!
 
Hahahaha! Nimecheka kweli kwamba domo la kizaramo mbinu zake kuu ni kupaki bus!!

Kabisa!

Kuna article moja niliisoma toka ESPN waliongelea kuhusu BR kama student wa JM...basi wakasema anachofanya BR ni exact opposite ya mwalimu wake kuanzia nurturing ya wachezaji, mbinu za uchezaji na behaviour!

Take a look at José afu umuangalie na Brendan then assume haya mafanikio angekuwa kayapata yeye kwa kutumia bajeti ndogo na wachezaji wa kawaida kama hawa!

Hapo angeongea Dunia nzima wangemsikia...in short currently BR ndo kocha bora EPL.
 

Na ameshaanza kujihami eti Ooooh Liver ina nafasi sababu haichezi CL, na watu pasipo kufikiri wanakubaliana na kauli yake wakati mwenzao anajitetea mapema ili ikitokea ajabeba kombe Mrusi asimtimue....mi natamani nimuulize 1. Mwaka Jana Liver haikua na nafasi ya kuchukua EPL Je ilikua inacheza UCL?? 2. Kama kutokucheza CL ndio sababu Kwanini isiwe Tottenham ama Everton zikawa na nafasi maana zote mwaka huu hazichezi CL?? 4. Je team ngapi Ulaya zinabeba ndoo za nyumbani na ya CL at the same time..........Ebu aache porojo akubali mwaka huu LFC tuko HOT!!Mwisho kama anaona CL inampunguzia nafasi ya kubeba EPL nxt year ajitoe CL ili agombee EPL tu. "You w'll never Walk Alone"
 
ngoja leo ipite, na terh 27 ipite halafu rudi uliza tena swali lako



Teh Teh Teh Teh

Haka kathread tumekaamsha kweli! Sasa mko moto!

Teh Teh Teh

Raha sn!

Leo hii hapo baadae utasema mwenyewe Kua Chelsea ni noma!
 
Teh Teh Teh Teh

Haka kathread tumekaamsha kweli! Sasa mko moto!

Teh Teh Teh

Raha sn!

Leo hii hapo baadae utasema mwenyewe Kua Chelsea ni noma!
hahahaha, dah, hapa mpira wa maneno kama ilivyo kwa mzee wa domo chelshit, leo atalivuta domo balaa, hahahaha
 


Kwani sio kweli?

Kushiriki mashindano mengi kunawafanya wachezaji wachoke!

Mrusi hawezi kumfanya lolote Jose na ndo Maana kamrudisha kwasababu Jose ni kocha bora!
 

Aione ndugu agosti 8 kwa Kumbukumbu za masijala.
 
Last edited by a moderator:
Kwani sio kweli?

Kushiriki mashindano mengi kunawafanya wachezaji wachoke!

Mrusi hawezi kumfanya lolote Jose na ndo Maana kamrudisha kwasababu Jose ni kocha bora!

Mkuu ebu jibu swali hili, Why not Everton ama Tottenham wenye kikosi ghali EPL,maana wao nao hawachezi UCL, kwanini wasiwe na nafasi wao??Jibu analo kua msimu huu Liverpool wako kivingine sio Excuse za zake.
Swala la Jose kua kocha bora ni kauli za wasioufahamu mpira, Ubora wa Jose mpe ela anunue majina makubwa na si kingine, amini usiamini hii Liverpool angekua nayo Jose hata top 10 asingeingia
 


Nina swali kwako! Ivi Liverpool Ktk timu kumi zenye kuongaza kifwedha iko nafasi ya ngapi?

Na Je ni sahihi kuilinganisha na Everton na liverpool?

Jose alipokua Fc Porto alikua na timu yenye uwezo mkuubwa kifedha km Chelsea, Internazionale au Madrid? Na Je Kwanini alifanya Vzr na kina Deco, McCathy na Tiago ambao walikua wachezaji wadogo sn tena wasio na majina km walivyokua wakati ule kina Gaucho, Seedorf, Kaka na Viera etc?

Msiwe mnaongea tu! Ubora Wa Jose duo kwa Chelsea tu au Madrid au Internazionale!
 

Mmmh!!!Hivi huioni sababu ya anayoitoa Mou ama, ni hii LIVER HAWAPO CL na hakusema Liver matajiri,sasa Je Spurs na Everton kwanini wasiwe wao wenye nafasi kwa mujibu wa Mou?Ama tuseme why Liver mwaka jana hawakua na iyo nafasi wakati hata mwaka jana hawakucheza CL???????????Ebu jaribu kutoa mapenzi yako kwa Mou, Ongea ki soccer na uwe unatoa majibu kulingana na kauli yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…