Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

José wa Porto FC alikuwa bora sana ila c huyu wa sasa...kumbuka tunaongelea SASA na c miaka 10 iliyopita!

Currently BR z the man...na kuthibitisha hilo utaona mwisho wa msimu atakapotangazwa kuwa kocha bora wa EPL.

YNWA...!
 
Unajua Ktk Maswali Yangu yote Hujajibu ata moja na wakati huo huo Wewe ndio umeanzisha hoja na ukiulizwa Maswali kutokana hoja zako unakimbilia vita vingine!

Jose ni kocha bora! Na Liverpool sio sawa na timu km Everton au Spurs kifedha na kitimu kwa ujumla!

Jose Yuko sawa Ktk maelezo Yake!
 
José wa Porto FC alikuwa bora sana ila c huyu wa sasa...kumbuka tunaongelea SASA na c miaka 10 iliyopita!

Currently BR z the man...na kuthibitisha hilo utaona mwisho wa msimu atakapotangazwa kuwa kocha bora wa EPL.

YNWA...!

Kapungukiwa nini? Au kichwa chake anacho mtu mwingine? Au wakati ule mlikua Bado hamjamfahamu ila sasa mmemjua?
 
Hivi uoni kama wewe ndio unatoka nje ya mada na maswali yangu, NAKUKUMBUSHA HOJA: "MOU anadai Liverpool wananafasi ya kuchukua EPL sababu HAWASHIRIKI CL" nikakujengea maswali kulingana na iyo kauli yake 1. Je Tottenham na Everton hawashiriki UEFA kwnini wasiwe na nanafsi?????maana hoja yake ni uchovu wa CL na si fedha 2. Mwaka jana Liverpool hawakua na nanafasi Je walishiriki CL hata wakakosa nafasi ya kua bingwa EPL????nakushangaa unaibuka na kesi ya utajiri ili ukimbie maswali (Haya jibu kulingana na hoja ya Mou iliyojenga maswali hayo)
 
Kapungukiwa nini? Au kichwa chake anacho mtu mwingine? Au wakati ule mlikua Bado hamjamfahamu ila sasa mmemjua?

Ndugu yangu acha kuongea kama unaigiza bwana...kabisa unakataa kuwa kiwango cha JM hakijapungua...KWELI???

You must be kidding mkuu...!
Currently BR z the man...the whole world knows that!
 
Ndugu yangu acha kuongea kama unaigiza bwana...kabisa unakataa kuwa kiwango cha JM hakijapungua...KWELI???

You must be kidding mkuu...!
Currently BR z the man...the whole world knows that!

Nimekuuliza Maswali hujibu unarukia vitu vingine? Ebu Rudi usome tena post yng!
 
Teh Teh Teh Teh

Unakwepa kujibu?

Teh Teh Teh
 
Kapungukiwa nini? Au kichwa chake anacho mtu mwingine? Au wakati ule mlikua Bado hamjamfahamu ila sasa mmemjua?

Mkuu leo naenda kuangalizia mechi kwenye kijiwe cha The Blues...ili niwapongeze "mkifuzu" leo.
 
Teh Teh Teh Teh

Unakwepa kujibu?

Teh Teh Teh

Umeisoma Hoja ya msingi hapo ama unajichekesha???Jibu hayo maswali ukumbuke Mou hajaongea habari za fedha na ukiingiza habari za fedha bado hutaweza jibu maswali yangu,,,maana Gharama alizotumia Spurs ktk usajili ni kubwa kupita alizotumia LFC wala Arsenal so bora hilo ulikimbie,,,,,We mtetee Mou na kauli yake kwa kunijibu hapo, Hiyo ndio Hoja niliyokuwekea mezani (Nakujibu wazi Liver matajiri kuliko Spurs na Everton haya anza kujibu maswali yangu now)
 
Teh Teh Teh Teh
 
Teh Teh Teh Teh

Next time come with the FACTS not merely words young man......Tht is Imbecilic,,arguing without reasoning!!Umejibiwa and now unashindwa kujibu, To remind u You were jst speaking with a matured soccer fan not like u, the FAN of Mourinho and not Football/soccer.
 
Teh Teh Teh
Mkuu nikupe Ushindi au?

Anyway! Mi sifanyi mijadala ya kijinga na pia sijaanza kufatilia Mpira Leo na bila Shaka ata ki umri hatuko sawa! Nafatilia Mpira kabla Wewe hujamfahamu Jose!
 
Mkuu Ntuzu naona umepewa kibano hadi unakosa cha kuongea hahahahaha!!

Mkuu wala si kibano! Nimeamua kumuacha nifanye mambo kwasababu huwezi muuliza mtu swali then asijibu kitu na akuja na lake tu! Mijadala haiko hivyo Mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Teh Teh Teh
Mkuu nikupe Ushindi au?

Anyway! Mi sifanyi mijadala ya kijinga na pia sijaanza kufatilia Mpira Leo na bila Shaka ata ki umri hatuko sawa! Nafatilia Mpira kabla Wewe hujamfahamu Jose!

Mkuu Sikukuomba ushindi ila umenishangaza kushindwa kuitetea hoja ya kocha wako na wewe mwenyewe!!Ukisema upendi mijadala ya kijinga utakua unaukosea uma wa soccer, maana ulikua ukijadili humu na kuuliza maswali ambayo umejibiwa sasa ghafla baada ya kuulizwa wewe maswali ndio unaibua hoja ya kuita hii ni mijadala ya kijinga,,, Aisee kuhusu soccer hata usiongee,maana natokea kwenye familia ya mpira!!so nimeanza kufatilia mpira na kucheza mpira tokea nikiwa na umri mdogo wa miaka saba, so najua nachoongea mi ni mtu mzima
All in all Have Peace Mkuu---Amani kwako!!
 
bora umeagana nae, ana akili za kitoto kama coach wao wa chelshit
 
Kapungukiwa nini? Au kichwa chake anacho mtu mwingine? Au wakati ule mlikua Bado hamjamfahamu ila sasa mmemjua?
kama unataka kujua kapungukiwa na nini subiri 27th atakavyokutana na mwanafunzi wake pale anfield
 
Pamoja Mkuu

Ngoja tuangalie game kwanza tutaendelea badae!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…