Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Umesema ni shabiki mzuri na wa kitambo ktk soka. Now tell me,tokea Mourinho atue Porto,ilimchukua muda gan mpk kushinda ligi ya ureno?! Na muda gan mpk kushinda Champions ligi?! Na je huoni ni muda mfupi sana toka BR achukue liverpool na mafanikio aliyowapa mpk ss?! Kwa kigezo cha muda tu,BR is the best, achana hata na hayo mengne anayoyajua ila hutaki kukiri
 

Asante mkuu kwa kumkumbusha ndugu Ntuzu kuhusu kigezo cha muda... kwa kweli alichofanya BR pale Liverpool FC ni maajabu ya soccer.
 
Last edited by a moderator:
Asante mkuu kwa kumkumbusha ndugu Ntuzu kuhusu kigezo cha muda... kwa kweli alichofanya BR pale Liverpool FC ni maajabu ya soccer.



Teh Teh Teh

Jamani mi nashangilia Ushindi!

Next season tutaona uwezo Wa kocha wenu akiwa anashiriki mashindano mengi!
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Ivi inakuaje mpk mnamlinganisha Jose na BR? kwa lipi BR awe Zaidi ya Jose?
 
Mkuu Ivi inakuaje mpk mnamlinganisha Jose na BR? kwa lipi BR awe Zaidi ya Jose?

jamaa wamekuwa over excited na kukaa juu pale kwenye msimamo wa ligi....BR na Mou wako kwenye rank tofauti kabisa za ukocha....wasubiri BR ashinde hata EPL 2, FA cup za ya moja na angalau afike Fainali moja ya CL within 2 years ndo kidogo tuanze kumtaja kwenye makocha bora....sasa hivi ni mapema sana..
 


Unajua ni Km wamelewa kwa kuongoza ligi!

Maana Naona wanaongea tu! BR BR BR BR, Jamani hebu mpeni muda mpk msimu ujao acheze CL EPL FA SC Alafu muone uzuri wake na timu yenu muipime!

Ata King Kenny D alipoichuka liverpool na akamfunga Man Utd mlianza kupiga kelele sn! Leo Yuko wp Dalgish?
 
Huyo huyo BR wenu alikua anasuasua mpk Jose akiwa Madrid akawambia uongozi Wa Liverpool Kua BR ni mzuri apewe nafasi Zaidi ataifufua Liverpool Leo hii mnalewa na kuanza kuongea na kumbeza Jose!
 
Swali langu la msingi hukujibu,hivyo ni wazi umekubali hali halisi. Timu gani ambayo Mou amewahi kufundisha yny bajeti ndogo na kuipa ubingwa au angalau hata kuifikisha tano bora?! BR kwasasa yuko vzur,haimaanishi yuko rank sawa na Mou ila huo ndio ukweli kaka.
 
a great moment... we are on top four and manuer is not, and Arsenal are fighting for their lives to stay on top four (which is highly unlikely
 

Fc Porto...wale underdogs waliowatoa Man U na kwenda kushinda Champions league 2004 ...
pia 2003 walishinda UEFA Cup..
 
Fc Porto...wale underdogs waliowatoa Man U na kwenda kushinda Champions league 2004 ...
pia 2003 walishinda UEFA Cup..


wamesahau:

JOSE MOURINHO kocha wa mataji:

nilisema jana LIVERPOOL = PAST TENSE.
Hata mji wa Kilwa ulikuwa mji mkubwa kuliko yote katika Pwani ya "Tanzania" enzi hizo kabla nchi Tanzania haijazaliwa; lakini leo...?

Liverpool ilikuwa timu zamani; sasa hakuna anayewaza LIVERPOOL ni nini?

kocha wa Liverpool BR alikuwa kocha wa wachezaji wa akiba; wakati JOSE MOURINHO alipokuja chelsea 2004.

kuhusu mafanikio ya Mourinho wanajua..ila inawauma kukubali.

timu kubwa haitegemei wachezaji wa mkopo..MOSES mchezaji wa chelsea anayecheza kwa mkopo kwenye timu ya LIVERPOOL.


 


Brendan yuko ranki moja na Kocha wa Everton Martinez, AVB, kocha wa Spurs Tim na vijana wengine:

ranki ya Mourinho ni hawa hapa: Pep Guardiola, Jupp Hykens(aliwapa Bayern Ubingwa na Madrid 98); Carlo Ancelotti bingwa katika ligi za nchi 3; Italia, Ufaransa, Uingereza.

fikiri kabla ya kubisha.:wave:
 



Mkuu nilichoona ni kwamba Watu hawampendi Jose na ndio Maana wanajaribu kulinganisha na BR mtu ambaye ndio kwanza anaanza!

Jose ni kitu ingine kabisa! Wala sio sawa na huyo BR wao! Na uzuri BR mwenyewe binafsi anamfahamu Vzr kabisa Jose Kua ni nani

Jana hapa walikua wanapiga mikelele kwamba lazima tupoteze kwa PSG Lkn wao wameona! Tena niliwambia Kua PSG hatopata goli ata moja hawasikii!

Na nikaenda mbali Zaidi nikawambia Chelsea ndio kiboko ya Barcelona na Munich na timu kubwa zote za EPL! Hawataki! Sasa ufanye nini Mkuu? Nikuwaangalia tu!
 
Nachopenda kuwambia ndugu zng Liverpool 27 mwezi huu nakuja mzima mzima na kijana wng mahili M. Salah
 

Teh Teh Teh Teh Teh...

Mkuu kimsingi hujanielewa hoja yangu... ni kweli kuwa JM ni kocha mkubwa ki hadhi kwa Ulaya kwa ngazi ya vilabu hilo halina ubishi.

Argument yangu ilihusu current form ya makocha ktk EPL tu...ndo nikasema CURRENTLY BR ndiye kocha bora wa EPL regardless atabeba ndo au lah!

Mageuzi aliyoyafanya kwa bajeti ile na sampuli ile ya wachezaji wale hata JM angepewa ile timu asingekuwa pale juu saizi.

That was my argument...!
 
Mkuu Ivi inakuaje mpk mnamlinganisha Jose na BR? kwa lipi BR awe Zaidi ya Jose?

Ni kosa kumlinganisha Jose na BR ilo lipo wazi,Tena kufanya hivyo ni kumkosea Jose heshima yake!! Tuwe wapenda soccer na si wapenzi wa team zetu tu, Labda sijaelewa mnaongelewa ki upande upi, kwa tuzo za kimsimu huu ama ki mafanikio yao ya nyuma?
 
Ni kosa kumlinganisha Jose na BR ilo lipo wazi,Tena kufanya hivyo ni kumkosea Jose heshima yake!! Tuwe wapenda soccer na si wapenzi wa team zetu tu, Labda sijaelewa mnaongelewa ki upande upi, kwa tuzo za kimsimu huu ama ki mafanikio yao ya nyuma?

Mkuu mimi nilikuwa naongelea hususani kwa msimu huu ndo nikasema BR kamfunika José sana tu ukizingatia kikosi alichonacho na performance.
 
Mkuu mimi nilikuwa naongelea hususani kwa msimu huu ndo nikasema BR kamfunika José sana tu ukizingatia kikosi alichonacho na performance.

Nimekusoma Mkuu, ni kweli BR kwasasa anafanya vizuri na hata kufikia kuzivutia baadhi ya team kubwa eg Barca na Real, ingawa bado hajaanza kutoa matunda ya kazi yake nikimaanisha kushinda Trophies, ila mpaka alipo anafanya vizuri kabisa, Aliifanya Swansea ijulikane kwa ule mpira wa pasi moja moja ikitokea daraja la chini hadi EPL, now ame i transform Liverpool kuwa title contenders, kazi ambayo hata King Kenny aliishindwa so iyo progress ya maana ki soka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…