jacjaz
JF-Expert Member
- Sep 7, 2011
- 440
- 208
Nina swali kwako! Ivi Liverpool Ktk timu kumi zenye kuongaza kifwedha iko nafasi ya ngapi?
Na Je ni sahihi kuilinganisha na Everton na liverpool?
Jose alipokua Fc Porto alikua na timu yenye uwezo mkuubwa kifedha km Chelsea, Internazionale au Madrid? Na Je Kwanini alifanya Vzr na kina Deco, McCathy na Tiago ambao walikua wachezaji wadogo sn tena wasio na majina km walivyokua wakati ule kina Gaucho, Seedorf, Kaka na Viera etc?
Msiwe mnaongea tu! Ubora Wa Jose duo kwa Chelsea tu au Madrid au Internazionale!
Umesema ni shabiki mzuri na wa kitambo ktk soka. Now tell me,tokea Mourinho atue Porto,ilimchukua muda gan mpk kushinda ligi ya ureno?! Na muda gan mpk kushinda Champions ligi?! Na je huoni ni muda mfupi sana toka BR achukue liverpool na mafanikio aliyowapa mpk ss?! Kwa kigezo cha muda tu,BR is the best, achana hata na hayo mengne anayoyajua ila hutaki kukiri
