yani huyu jamaa alinisikitisha sana tangu alipo post huu ujinga...hivi kua kocha msaidizi kuna tatizo.?mbna mourinho alikua kocha msaidizi barca?
post ilikuwa inasema hivi😛enati akipewa liverpool ni kwa sababu wanashambulia ila wakipewa man utd wanabebwa,sijui bila penati liverpool wangekuwa nafasi ya ngapi,sasa:
1. hamna sehemu ambayo nimesema liverpool hawashambulii,im a football fan whoever plays well i salute.
2.bila penati liverpool angekuwa nafasi ya tatu,hio ni fact.
Plastic fans wengi wa Chelshit hawaijui Team yao kiundan aisee
Jose Mourinho, Bio yake inaonyesha,
1992-1993, alikuwa Assistant Manager, Sporting Club
1993-1996, Alikuwa Assistant Manager, FC PORTO
1996-2000, Alikuwa Assistant Manager, FC BARCELONA.
Na ukiachana na Uassistant coach alikuwa ni Interpreter for Sir Bobby Robnson, Sporting Club, porto na Barcelona...
Na pia alishawah kufanya kazi chini ya LOUIS VAN GAAL pale Barcelona....
Teh Teh Teh Teh
Bado tu mko Na Special one?
Teh Teh Teh Teh
Vp Kesho mmejiandaaje kukabiliana na Man City?
Anapunguza siku za kufa na anaongeza siku za kuishi.we jamaa uapenda kuchekacheka!!
we jamaa uapenda kuchekacheka!!
Plastic fans wengi wa Chelshit hawaijui Team yao kiundan aisee
Jose Mourinho, Bio yake inaonyesha,
1992-1993, alikuwa Assistant Manager, Sporting Club
1993-1996, Alikuwa Assistant Manager, FC PORTO
1996-2000, Alikuwa Assistant Manager, FC BARCELONA.
Na ukiachana na Uassistant coach alikuwa ni Interpreter for Sir Bobby Robnson, Sporting Club, porto na Barcelona...
Na pia alishawah kufanya kazi chini ya LOUIS VAN GAAL pale Barcelona....
Teh Teh Teh Teh
Bado tu mko Na Special one?
Teh Teh Teh Teh
Vp Kesho mmejiandaaje kukabiliana na Man City?
Van Gaal alifungwa na aliekua msaidizi wake na kutwaa ndo! Chezea Jose weye?!!!
Khe Khe Khe Khe
Anapunguza siku za kufa na anaongeza siku za kuishi.
Game ya kesho dhidi ya Man City ni ya Kufia uwanjani..
Tunahitaji ushindi kuliko kitu chochote kile..
Draw au kufungwa yatakuwa ni matokeo mabaya kwa upande wetu..
Mi niko pembeni naangalia mnavyouana!
hahahahahahh.....Ntuzu bhana
Me hapo nilikuwa nataka kumuonesha shabik mwenzako wa chelsea kuwa kuanza kama kocha msaidiz kwenye soccer hakukufanyi uonekane ni kocha wa kawaida, coz kila kitu kina mizizi yake aisee...
Mourinho ni kocha mzuri, lakin naye pia ametoka mbali sana mpaka kufikia hapo alipo sahiv...
hahahahahah...Aya bhana..
Teh Teh Teh Teh
Bado tu mko Na Special one?
Teh Teh Teh Teh
Vp Kesho mmejiandaaje kukabiliana na Man City?
Anapunguza siku za kufa na anaongeza siku za kuishi.
Game yetu ya kwenda fainali za UCL ni tarehe 22 coz ile ya tarehe 30 tutakua tumechoka sn kwa game yenu ya tarehe 27. Lkn ni nafasi kubwa sn Ktk game yenu Salah Matic na wengine kupangwa