Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

yani huyu jamaa alinisikitisha sana tangu alipo post huu ujinga...hivi kua kocha msaidizi kuna tatizo.?mbna mourinho alikua kocha msaidizi barca?

Plastic fans wengi wa Chelshit hawaijui Team yao kiundan aisee

Jose Mourinho, Bio yake inaonyesha,

1992-1993, alikuwa Assistant Manager, Sporting Club

1993-1996, Alikuwa Assistant Manager, FC PORTO

1996-2000, Alikuwa Assistant Manager, FC BARCELONA.

Na ukiachana na Uassistant coach alikuwa ni Interpreter for Sir Bobby Robnson, Sporting Club, porto na Barcelona...

Na pia alishawah kufanya kazi chini ya LOUIS VAN GAAL pale Barcelona....
 
post ilikuwa inasema hivi😛enati akipewa liverpool ni kwa sababu wanashambulia ila wakipewa man utd wanabebwa,sijui bila penati liverpool wangekuwa nafasi ya ngapi,sasa:
1. hamna sehemu ambayo nimesema liverpool hawashambulii,im a football fan whoever plays well i salute.
2.bila penati liverpool angekuwa nafasi ya tatu,hio ni fact.

ukitafakal kiundan kaul yako nahisi unamaanisha izo penati tunapewa kimakosa..daah kilio cha mbaazi
 
Hatimaye BR atangazwa kama kocha wa Mwezi huku Suarez na Mr Liverpool wakichangia zawadi kama mchezaji bora wa mwezi ktk Englsh Premier League it was a triple celebration at Liverpool F.C!!!
 
Plastic fans wengi wa Chelshit hawaijui Team yao kiundan aisee

Jose Mourinho, Bio yake inaonyesha,

1992-1993, alikuwa Assistant Manager, Sporting Club

1993-1996, Alikuwa Assistant Manager, FC PORTO

1996-2000, Alikuwa Assistant Manager, FC BARCELONA.

Na ukiachana na Uassistant coach alikuwa ni Interpreter for Sir Bobby Robnson, Sporting Club, porto na Barcelona...

Na pia alishawah kufanya kazi chini ya LOUIS VAN GAAL pale Barcelona....

Teh Teh Teh Teh

Bado tu mko Na Special one?

Teh Teh Teh Teh

Vp Kesho mmejiandaaje kukabiliana na Man City?
 
Van Gaal alifungwa na aliekua msaidizi wake na kutwaa ndo! Chezea Jose weye?!!!

Khe Khe Khe Khe
 
Game ya kesho dhidi ya Man City ni ya Kufia uwanjani..

Tunahitaji ushindi kuliko kitu chochote kile..

Draw au kufungwa yatakuwa ni matokeo mabaya kwa upande wetu..
 
hahahahahahh.....Ntuzu bhana

Me hapo nilikuwa nataka kumuonesha shabik mwenzako wa chelsea kuwa kuanza kama kocha msaidiz kwenye soccer hakukufanyi uonekane ni kocha wa kawaida, coz kila kitu kina mizizi yake aisee...

Mourinho ni kocha mzuri, lakin naye pia ametoka mbali sana mpaka kufikia hapo alipo sahiv...
 
Mi niko pembeni naangalia mnavyouana!
 
hahahahahahh.....Ntuzu bhana

Me hapo nilikuwa nataka kumuonesha shabik mwenzako wa chelsea kuwa kuanza kama kocha msaidiz kwenye soccer hakukufanyi uonekane ni kocha wa kawaida, coz kila kitu kina mizizi yake aisee...

Mourinho ni kocha mzuri, lakin naye pia ametoka mbali sana mpaka kufikia hapo alipo sahiv...

Ata mtoto huanza kwa kutambaa mpk kukimbia!

Ila Jose Amekua nguli sn Ktk soccer Nafikiri wakati mwingine inatokana na kufanya kz kwa makocha nguli km Van Gaal!
 
hahahahahah...Aya bhana..

Game yetu ya kwenda fainali za UCL ni tarehe 22 coz ile ya tarehe 30 tutakua tumechoka sn kwa game yenu ya tarehe 27. Lkn ni nafasi kubwa sn Ktk game yenu Salah Matic na wengine kupangwa
 
Teh Teh Teh Teh

Bado tu mko Na Special one?

Teh Teh Teh Teh

Vp Kesho mmejiandaaje kukabiliana na Man City?

Mkuu point 3 lazima zibaki anfield hatuna utani aiseee mechi zilizobaki zote ushindi ni lazima na ni muhimu
 
Game yetu ya kwenda fainali za UCL ni tarehe 22 coz ile ya tarehe 30 tutakua tumechoka sn kwa game yenu ya tarehe 27. Lkn ni nafasi kubwa sn Ktk game yenu Salah Matic na wengine kupangwa

Mkuu Ntuzu sie hata ubebe kikombe kwa mara ya 2 hamna noma ila tar27 jiandae kukabidhi point tatu pale messeyside.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom