Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mnaongea sana ..kocha wenu toka jtatu yuko kwenye magazeti kuongea ongea,tu kama mtoto anayejifunza kuonfea..subirini kesho si mmezoea magoli ya penati basi kesho jasho litawatoka

You wish...!
Duh!

This is Anfield...!
 
Mnaongea sana ..kocha wenu toka jtatu yuko kwenye magazeti kuongea ongea,tu kama mtoto anayejifunza kuonfea..subirini kesho si mmezoea magoli ya penati basi kesho jasho litawatoka

Anayeongoza kwa kutupia hajapiga hata tuta moja emu kachungulie kwenye msimamo uone ni nani na anatokea club gani?
 
Mnaongea sana ..kocha wenu toka jtatu yuko kwenye magazeti kuongea ongea,tu kama mtoto anayejifunza kuonfea..subirini kesho si mmezoea magoli ya penati basi kesho jasho litawatoka

kocha wetu akiongea we inakuuma nini? Hivi pale uingereza kuna kocha mwenye mdomo kuliko maureen kweli? Kwanza we timu gani,nisije nikawa nabishana na wale watu wenye namba yao ya kudumu kwenye msimamo wa ligi! BTW.if we are talking,it's our time to talk,au ulitaka tuongee lini? Come on u manure! YNWA..!
 
Mkuu huyu sio manure ni binti wa jimama la kizaramo linajulikana kwa jina la Maureen linaongea hilo!!!
 
Mnaongea sana ..kocha wenu toka jtatu yuko kwenye magazeti kuongea ongea,tu kama mtoto anayejifunza kuonfea..subirini kesho si mmezoea magoli ya penati basi kesho jasho litawatoka

Kumbe inawauma sana akiongelea mafanikio yetu!
html>
<head><title>301 Moved Permanently</title></head>
<body bgcolor="white">
<center><h1>301 Moved Permanently</h1></center>
<hr><center>nginx</center>
</body>
</html>

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mkuu Ntuzu sie hata ubebe kikombe kwa mara ya 2 hamna noma ila tar27 jiandae kukabidhi point tatu pale messeyside.

Naona baada ya mimi kumpiga PSG mlikua kimya! Sasa Mmeanza kuongea!

Tarehe 22 mtaona ATM anavyokaa then ntakuja kwenu!
 
Last edited by a moderator:
ATM haitusumbui kabisa! Huo umakini unaousemea sisi tuko makini Zaidi ya hao ATM!

Yani sina ata presha!

Bado mko na maandalizi ya game? Au mmejificha darini?
 
CONFRIMED #LFC Team: Mignolet, Flanagan, GJ, Skrtel, Sakho, Gerrard, Henderson, Coutinho, Sterling, Suarez, Sturridge

SUBS: Jones, Toure, Agger, Aspas, Allen, Moses, Lucas
 
Duh! Hii game ya leo,si mchezo! Ipo 50/50 sana! Ngumu sana kwetu mechi hii wadau.
YNWA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…