Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sema ukweli team spirit ya hawa Loserfools ipo juu sana...wana average players (ukiwatoa Shuzilaulezi na Gerrard tu) wanaocheza utafikiri world class! Wamekuwa kama United chini ya SAF, ambapo Oshea aliweza kucheza kama Cafu vile!
 
Chuki binafsi hyo..... Liver wako juu msimu huu
 
Sema ukweli team spirit ya hawa Loserfools ipo juu sana...wana average players (ukiwatoa Shuzilaulezi na Gerrard tu) wanaocheza utafikiri world class! Wamekuwa kama United chini ya SAF, ambapo Oshea aliweza kucheza kama Cafu vile!

Hangaika wewe na timu zako za daraja la tatu
 
Sema ukweli team spirit ya hawa Loserfools ipo juu sana...wana average players (ukiwatoa Shuzilaulezi na Gerrard tu) wanaocheza utafikiri world class! Wamekuwa kama United chini ya SAF, ambapo Oshea aliweza kucheza kama Cafu vile!

Even Gerrard not a World Class player....hapo ni Suarez tu..kocha wao mzuri sana...

Kocha wa msimu tuzo inamhusu
 
Sturridge anatucost, anapoteza sana mipira mbele kule...
 
Kila kaheri mwungwana naona huu msim ni wa kwenu

Kaka tumetafuta mchawi muda mrefu sana, wale wahuni wawili wa kimarekani walitulostisha sana kipindi cha Benitez sasa tumekaa sawa tuko imara more than b4, never walk alone
 
Back
Top Bottom