Liver 2-0 man city dk30
City wamepotea sana sehemu ya kiungo, wataoga magoli ya kutosha.
babtutu we tim gani?
Liver hii kasi mnachukua Ubingwa...
Sema ukweli team spirit ya hawa Loserfools ipo juu sana...wana average players (ukiwatoa Shuzilaulezi na Gerrard tu) wanaocheza utafikiri world class! Wamekuwa kama United chini ya SAF, ambapo Oshea aliweza kucheza kama Cafu vile!
Liver dam dam, nimekunywa maji ya bendera nikaimeza na bendera yenyewe
Sema ukweli team spirit ya hawa Loserfools ipo juu sana...wana average players (ukiwatoa Shuzilaulezi na Gerrard tu) wanaocheza utafikiri world class! Wamekuwa kama United chini ya SAF, ambapo Oshea aliweza kucheza kama Cafu vile!
Sema ukweli team spirit ya hawa Loserfools ipo juu sana...wana average players (ukiwatoa Shuzilaulezi na Gerrard tu) wanaocheza utafikiri world class! Wamekuwa kama United chini ya SAF, ambapo Oshea aliweza kucheza kama Cafu vile!
we cheka tu, ila kumbuka this is .........
Kila kaheri mwungwana naona huu msim ni wa kwenu
Leo Swansea City anawakalisha...afu sisi tunapaa.