hahahahah
REAL MADRID washaanza choko choko kwa COUTINHO....
HAUZWII HUYOOO!!!!!!!!!!
vp baada ya mech kuisha ulijisikiaje?...jaribu kuwa unakubaliana na matokeo ya nyakati..tofaut na apo utaugua magonjwa ya mlipuko
Naona mwenzetu ushajihakikishia nafasi ya saba hauna mpinzani hapo, wenzako msimu ujao tukiwa tunakiputa UCL ligi la wanaume we utakuwa unatalii maghorofa china coz utakuwa huna pakwenda!
Halafu pia nilianza kusikia chokochoko za Man U kumnunua Suarez, hii imekaaje wadau
Liverpool ana kila sababu ya kuchukua ubingwa....sasa hivi ubingwa uko mikononi mwake,akishinda game zake ubingwa wake hategemei matokeo yao 'its in liverpool's hands'
Liverpool wameonyesha consistence ambayo hamna timu ya top four yoyote imeonyesha,winning 10 games in a row is championship form,as a man utd fan i know it very well,this is called business end of the season and Liverpool is showing tremendous form.
There is solidarity among players,it was evident at the end of the game against city,Gerrard deserve a premier league title....all the best Liverpool u deserve this title please DONT BLOW IT we are sick of Mourinho rants!!!!
Kwa kweli cha muhimu kwa sasa ni kufocus next game ya Norwich.Nafasi ya kushiriki champions league tayari mpaka sasa ni uhakika.
Ubingwa ndicho kitu cha maana zaidi.Ni miaka 23 imepita na kwakweli kiu ya ubingwa kwetu ni kubwa mno kwa sasa.Yes,haikuwa ndani ya matarajio yetu msimu huu lakini tumeifikia pointi muhimu ambayo hakuna timu nyingine inaweza kujigamba kuwa nayo.Pointi ya kuchukua ubingwa only if tunashinda mechi zote zilizobaki!
Spirit ya timu ipo juu na from the players faces one can tell that now reds are eager for the title,come what may!Hilo limejidhihirisha kwenye game ya man city jana.
Sidhani kama nafasi hii itatokea hivi karibuni kama tukiipoteza kwa sasa.Wachezaji kama Gerad ambao wapo jioni ya career yao itakuwa ni majonzi kustaafu bila title la premier ukizingatia nafasi ya timu kwa sasa na perfomance yao.Yani najisikia vibaya sana mchezaji mpiganaji,kiongozi na mwenye maarifa kama Gerad kutundika daluga bila premier title huku wachezaji wa kawaida kabisa kama Valencia tayari wamechukua!
And now they are just an inch to it.
Kingine ninachopenda kitokee baada ya hilo la ubingwa ni Luis Suarez kufunga mabao matatu tu mengine!Ndio!Aandike record ya mchezaji aliyefunga zaidi kwenye msimu mmoja wa mechi 38.Awapite Christian Ronaldo na Alan Shearer wanaoongoza kwa mabao 31.Nia,sababu na uwezo wa kufanya hivyo anavyo na sioni ni lini tena atakuwa na vyote hivyo vitatu at the peak zaidi ya msimu huu.
God bless liverpool....
Me nadhani ungeihofia zaidi Man city kuliko Chelshit, coz man city wana 2 games in hand...
Na tunachoombea ni Man city kudrop 3pts tu katka game zake zte zilizobak, si tukishinda against Norwich na Chelshit, tutabeba kombe kwenye game yetu na Crystal palace...so kwa vyovyote vile lazma Chelshit afe pale ANFIELD..
Afu, tukija kwenye UKWELI ni kwamba LIVERPOOL FC wanagombea UBINGWA now na Siyo TOP4, ingawa malengo yalikuwa ni Top4..lakin kwa sasa tumeshapita huko...tupo mbali saaana.
Gerrard Amefanikiwa kuzifuta kadi zake zote zile 9 za njano, coz kadi yake ya 9 aliipata kwenye ile game dhidi ya Fulham nadhani, so kwa sheria zao za FA hakutakiwa kupata kadi yoyote ya Njano ya 10 mpaka kwenye second week of April, ambapo ilikuwa kwenye game Man city, ili zile kadi nyingne zifutwe, Na hakupata yellow yoyote kwenye ile game, so kazifuta zote.. manake kama angepata ya 10 angekosa game mbili..lakin alifanikiwa kuepuka kadi yoyote ile mpk kwenye game ya Jana..
Big Loss ni Henderson, japo naamini, lucas, Allen watacover vizuri..
Na watu kama kina Joao texeira, Aspas, moses na Luis Alberto wanaweza wakapata Shout..
Na pia huyu dogo Luis Alberto ni FUTURE ya Liverpool Aisee..dogo anajua sana..
mechi zidi ya Chelsea itakuwa tam sana coz anakuwa katoka kucheza na atretico Madrid uefa ambayo ni game ya mhim sana wake sasa aombee asipate majeruhi hata 1.akipata majeruhi itakuwa poa sana maana itaturahisishia KAZI.
najua kwenye uefa lazima apange full mkoko.
ndio maana nilikuwa namuombea afuzu kwenye uefa na kama tutafungwa game hii basi tutakuwa tumeutema ubingwa rasmi.
ila kama Jana angetoka suruhu Chelsea basi ingekuwa powa sana.
ni mechi chache zimebakia ila ningum sana kuanza kuuzungumzia ubingwa now nikutokana na kumwombea mpinzani wetu Chelsea avurunde kwakufungwa japo game 1 tuuu au hata kwa kutoa suruhu.
mechi yakuamua nani bingwa msim huu ni kati yetu na Chelsea.
Teh Teh Teh Teh
Km wenzako wangekia na moani Km yako ingekua Pouwa kweli Lkn kutwaaa ni ushabiki tu!
Teh Teh Teh Teh Teh
Chelsea lazima tuwapige!
Yaani kabla hata Injury updates kuhusu Sturridge hazijatoka, Watu washaanza kutengeneza stories zao, Waingereza bhana...
Me nahis 'tight hamstring" syo serious sana kihvyo, sidhan kama inazidi hata 2 weeks kuwa nje ya uwanja..
lakin kuna watu washaanza kusema atakosa mpaka WC kule Brazil...
Tusubirie official statement ya Club..
Lets hope Ts not that BIG..!!
Teh Teh Teh Teh
Kweli nyie loserfool!
Timu ambayo Bado hamjacheza nayo hamuiofii Lkn ile mmecheza nayo tayari ndio mnaiogopa?
acha kelele wewe....league table doesnt lie....the best team is on top....nyingine kelele tu,subiri ukiwa top ndio upige kelele zako hizi....na nakuhakikishia hio tarehe 27 mtakuwa nafasi ya tatu.....10 wins in a row is a championship form....
mimi ni man utd lakini kwenye ukweli nasema,LIVERPOOL WAKO VIZURI AND THE TROPHY IS THEIRS TO LOSE......
Teh Teh Teh teh Teh
Mmeanza kuhaha? Ata km akiwepo Ktk mechi yetu lazima tuwapige tu nyie!
Me sikuogopi, Coz lengo langu ni kukupiga kivyovyote vile Aisee..
so siwez nkakuhofia wakat, kitu kikubwa ninachohitaj kutoka kwako ni USHINDI tu..
Nadhan hata wewe itabid umuhofie Man city zaid coz yupo nyuma yako na Ana game 2 in hand..ambazo nakumbuka hata Morinyo baada ya game na Stoke city ile alilalamika, kuwa haiwezekan kwenye league kubwa kama EPL, team zmebakiza game 5 tu, afu kuna nyingne inakuwa na game 2 eti mkononi..
huoni kama hyo ni faida kubwa kwa Man city...ombea Man city adrop points kwenye hzo game zake..syo kuja hap kila siku kutupgia makelele sisi mkuu Ntuzu..
Ntuzu, ungefocus kwnza na game yenu inayokuja aisee...trh27 bado mbal kidogo...
Mkuu niko na vikosi viwili Vzr tu! Na ratiba ya game zote iko Pouwa tu!
Next Saturday niko na Sunderland nachoweza kukuambia kila mchezaji Amekua anafanya Vzr! Km vile Salah na Ba! Kwahiyo Sunderland lazima wapigwe na ukizingatia wanakuja darajani!
Game ya ATM ni nzuri sn na ni nyepesi kwasababu tunaanzia ugenini na ni lazima tuwafunge Huko kwao ili tupumzike Siku 5 then tuje tukumalize Na Wewe!
Game ya ATM ya darajani itakua rahisi tu!
Mkakati ulishapangwa Kwahiyo kilichobaki ni utekelezaji tu!