Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana nimesema "was supposed to be" kwani wakati akiwa Real alikuwa World class bila shaka.....lakini kwa sasa ameshuka haonekani kwenye Big occasions ambapo timu inamuhitaji....
Mi siongei kinazi ndo maana hatuelewani..timu kama manure wao ROONEY,RVP na kwa mbaali De Gea hakuna World class mwingine pale
Kuna tofauti kubwa ya World class,Top class,Average, flop au Misfit...
World class players Ni shidaa.....
Giroud nashindwa ni Average au Flop au Misfit......huyu simsomi kbs mpaka leo
sasa mkuu Kashengo kama unamweka ROONEY katka World Class players, utaweza vipi kumwacha GERRARD???
Tume-concentrate kwenye FA kwanza...tuwakate kilimi media za UK kuhusu trophless. Ni mipango tu
Tume-concentrate kwenye FA kwanza...tuwakate kilimi media za UK kuhusu trophless. Ni mipango tu
Baba Kelvin haya matokeo ndio ninayoyataka Mimi chelsea Ili tarehe 27 nije nimchinje jogoo hapo hapo!
He was a World class lakini sio sasa...ameshuka sio yule Steven Gerrard wa 2005...
Karibu sana #ManUnited20
Kipofu kaona Mwezi! Ngoja Man u msimu ujao tunashusha nondo za World Cup wale best Kombe zote tutabeba
Karibu sana #ManUnited20
watu wewe!!!!
I loved every minute of first half..
second half pressure ikawa kubwa hadi nikaanza kupata kizunguzungu, Liverpool inabidi wajifunze jinsi ya kuretain possession na kutoshambulia kila saa ie inabidi tujifunze kupiga pasi za kupoteza muda, ili tukiwa 2-0 ahead tuweze kuwa kwenye cruise control...daah, yaani angalau tumeshinda. Hii mechi tungefungwa au draw baada ya kuwa 2-0 ahead ingetua motivation sana.. lakini kwa ajili tumeshinda basi hell yeah!!
Henderson- dah ile red card 🙁
Lakini na yeye inaonekana alikuwa amechoka choka mechi zilizopita maana amecheza sana kwahiyo labda ni vizuri either Lucas/Allen/Aspas watachukua nafasi yake.
Daniel Sturridge has been awful for the last 3 games..kwahiyo sijui injury yake ni precaution au serious..either way, we can still use Suarez alone and be succesful.
Mungu awe nasi..bado mechi 4, blood pressure kubwa sana.
dah!
vp baada ya mech kuisha ulijisikiaje?...jaribu kuwa unakubaliana na matokeo ya nyakati..tofaut na apo utaugua magonjwa ya mlipukoKumbe naongea na nyani...basi shikamoo Mr. Nyani!