MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Inaweza ikawa kweli..ila mchango wa Messi ni mkubwa kuliko Gerrard katika national team, hata kama Messi hana mchango mkubwa sana kwenye timu yake..
Ebu msome SAF kwenye autobio yake ili umwelewe kwanini hamwoni Gerrard hata na Lampard kama siyo world class...
Na ulisoma vizuri bio ya Gerrard, kuna sehem anasema SAF alishawah kutaka kumsajili lakini Gerrard Akamtolea Nje...
Afu kitu kingne SAF mpinzan wa Liverpool kwa kila Kitu..