Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tatizo umeongea kinazi...goons watakuwa vizuri kivipi? Kwa sababu zipi? Unajua United wamesema wapo tayari kutumia pound milioni 200 kwa usajili next summer?!? Sasa nani yupo vizuri hapo?

Sio kinazi wala nini, financially Arsenal wapo vizuri. Utd wana big debt kama unavyojua, sababu wamesema wataspend milioni 200 sio kwamba watazitumia hizo pesa zote. Mpaka sasa inaonyesha mna kazi ngumu ya kuattract wachezaji inaonyesha big target wenu Kroos kuna uwezekano akasaini mkataba kubaki Bayern au kwenda Real Madrid. Kuna uwezekano Man Utd wataanza kununua wachezaji wa mafungu kama Arsenal.
 
Sketi hand of god could win the scoursers the league...when all the decisions go in your favour, that is a sign for a champion..
 
mm nilisema hii game lazima tushinde kama kawa game Ilizobakia zoote yabidi tushinde ili tubebe ndooo
 
Hongereni Liverpool kwa ushindi mwingine mnono mnazidi kujishindilia kileleni. nadhani Chelsea watapata shida kuondoka na point 3 vs Swansea
 
Mwaka huu wetu, halafu kama GD kwenye table hawajarekebisha?

10176213_10200849422837971_1949005209947774066_n.jpg
 
Sketi hand of god could win the scoursers the league...when all the decisions go in your favour, that is a sign for a champion..

Hakika...!
Ila gemu ilikuwa very entertaining... Coutinho kanifurahisha lile goli jinsi alivyogeuka.
YNWA.
 
SG amejaribu kuficha furaha na imani ya kubeba ndoo lakini furaha ilikuwa very clear. Carragher atakuwa anajilaumu kuretire very early angevuta msimu mmoja na kukubali kuwa bench player angekuwa hapa. Anyway, don't let it be another a season wonder kama kipindi cha Benitez.
 
Sio kinazi wala nini, financially Arsenal wapo vizuri. Utd wana big debt kama unavyojua, sababu wamesema wataspend milioni 200 sio kwamba watazitumia hizo pesa zote. Mpaka sasa inaonyesha mna kazi ngumu ya kuattract wachezaji inaonyesha big target wenu Kroos kuna uwezekano akasaini mkataba kubaki Bayern au kwenda Real Madrid. Kuna uwezekano Man Utd wataanza kununua wachezaji wa mafungu kama Arsenal.

Chifu, basi. Maana unasema Arsenal wapo financially better kuliko United. Inaonekana huwezi kuongea bila ya unazi kichwani mwako.

Pamoja na kuwa na deni (ambalo limepungua sana) United wamespend takribani pound milioni 65 kwa Fellaini na Mata...sasa hapo kama si jeuri ya pesa ni nini!!???

Hizo pound milioni 200 zipo kwa ajili ya kutumika...hilo halina mjadala..

Kazi ya kuattract wachezaji ni ngumu kwenye akili zako tu!! Sasa ni pesa tu ndiyo inaongea...hayo mengine ni maneno ya kwenye kanga...kama Falcao alienda Monaco na Ibra akaenda PSG..huku Aguero, Silva na Toure wakienda City..kwanini United ishindwe kuwapata Reus, Kroos, Mangala, Carvalho n.k. kama wakipewa pesa ya kutosha?

Ebu tuweke unazi pembeni ili tuweze kuongea vizuri..

Arsenal wanahitaji kuanza upya, chini ya meneja mpya, Wenger keshafika omega...bila hilo, mtakuwa wa kuishia April kila mwaka...
 
Tatizo umeongea kinazi...goons watakuwa vizuri kivipi? Kwa sababu zipi? Unajua United wamesema wapo tayari kutumia pound milioni 200 kwa usajili next summer?!? Sasa nani yupo vizuri hapo?

BR anasema kitendo cha kukosa big 4 tayari kinakufanya uwe mshiriki zaidi kuliko mshindani. Wale world class players mtashindwa kuwasajili kwa kuwa hamshiriki UCL. Kama hiyo haitoshi mtashindwa kuwashawishi wachezaji wenu wenye ubora kuendelea kuchezea timu isiyo shiriki Cl.

Kwa kifupi manure mjiandae kuwa kama Aston Vila, New castle na vile vilabu vya aina hiyo. Sio nyie tu hata Arsenal wakikosa Cl ni maumivu kwa kwenda mbele. Vp wachezaji wa aina ya Ozil, Rooney, Wilshea, Evra, eti wanacheza epl tu na FA! Poleni manure na aseno
 
Steve G! The Captain! Anadondosha machozi ya furaha! ANALIA....

Gerrard ana uchu sana wa EPL..hakika anastahili kulibeba hata mara 1 tu! Ila wasijisahau, hivi vitimu vinavyofight relegation havinaga adabu...wakivifunga hivyo...basi kwa Chelsea itakuwa mteremko tu..kisha kombe lao...
 
Back
Top Bottom