Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

BR anasema kitendo cha kukosa big 4 tayari kinakufanya uwe mshiriki zaidi kuliko mshindani. Wale world class players mtashindwa kuwasajili kwa kuwa hamshiriki UCL. Kama hiyo haitoshi mtashindwa kuwashawishi wachezaji wenu wenye ubora kuendelea kuchezea timu isiyo shiriki Cl.

Hiyo ni fallacy chifu...

Soka la sasa ni pesa tu...

Nimeshawaambia mifano hii:

1. Falcao kwenda Monaco,

2. Ibra kwenda PSG,

3. Toure, Silva, Aguero na Dzeko kwenda City

Hao wote walienda kwenye timu ambazo kipindi hicho hazikuwepo UCL!!

Eti tutashindwa kuwashawishi wachezaji wazuri wabaki!! Coming from a Liverpool fan? Naona mlishindwa kumshawishi Suarez, ndiyo maana sasa yupo Arsenal enh?!?

Kwa hiyo mlivyokosa top 4 for how many years?!? Liverpool mwaka huu umekuwa washiriki zaidi kuliko washindani?!?

Toa unazi kwenye ubongo wako, ili uwe na mjadala huru.
 
Hii ilikuwa nusufainal bado final ilituweze kutangaza ubingwa.
 
Yes. He isn't. He is a fantastic player, but not world class. He is just English class!

Look at him when he performs with his national team...he is usually at the margin...a world class player should be able to perform at the best level in club and national competitions..

sikubaliani na wewe hata kidogo Nzi

World class player syo lazma ashine kwenye national team, mfano mzuri ni mtu kama Lionel Messi, mchango wake kwenye Club ni mkubwa kuliko kwenye National team..

Kwa uingereza kuanzia 2000's unapomtaja Gerrard, unamtaja Paul scholes, frank lampard, ambao wote hao ni world class midfielders..

Nzi, unaposema Gerrard syo world class player unakosea sana...

Mtazamo wangu lakini.
 
Wapi Pazi.
Hehehehe kaka nipo unajuwa hii game ngumu huwezi kuchat na kutizama bora utizame uje baadae vigemu virahisi ndio unaweza kufanya Hivyo ila kiukweli nakiri baada 2-1 nilienda kujichimbia baada muda nikasema game ishakwisha nikasema ndio basi tena alafu baada hapo napigiwa simu Babu yangu wa karibu MZEE MUHIDIN GURUMO ameaga Dunia Mwenyezimungu amlaze mahali pema Peponi Ameen! YNWA! Na msiba kuliko fur aha.
 
Nzi huu mwaka ni wetu tu hata msemeje?

Hakika..huu mwaka unapaswa kuwa wenu, ingawa inauma..lakini saa zingine kupingana na uhalisia ni sawa na kupigana na ukuta..

Decisions nyingi sana zimekuwa upande wenu mwaka huu..leo tu decisions 3: Sketi kunawa, Flannagan kumwangusha Silva na Suarez kudive mara 2 bila ya kupewa 2nd yellow.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ni fallacy chifu...

Soka la sasa ni pesa tu...

Nimeshawaambia mifano hii:

1. Falcao kwenda Monaco,

2. Ibra kwenda PSG,

3. Toure, Silva, Aguero na Dzeko kwenda City

Hao wote walienda kwenye timu ambazo kipindi hicho hazikuwepo UCL!!

Eti tutashindwa kuwashawishi wachezaji wazuri wabaki!! Coming from a Liverpool fan? Naona mlishindwa kumshawishi Suarez, ndiyo maana sasa yupo Arsenal enh?!?

Kwa hiyo mlivyokosa top 4 for how many years?!? Liverpool mwaka huu umekuwa washiriki zaidi kuliko washindani?!?

Toa unazi kwenye ubongo wako, ili uwe na mjadala huru.

Lastime mbona hukuongea haya au mpaka Liver imketishe mtu ndiyo unaongea??
 
Hiyo ni fallacy chifu...

Soka la sasa ni pesa tu...

Nimeshawaambia mifano hii:

1. Falcao kwenda Monaco,

2. Ibra kwenda PSG,

3. Toure, Silva, Aguero na Dzeko kwenda City

Hao wote walienda kwenye timu ambazo kipindi hicho hazikuwepo UCL!!

Eti tutashindwa kuwashawishi wachezaji wazuri wabaki!! Coming from a Liverpool fan? Naona mlishindwa kumshawishi Suarez, ndiyo maana sasa yupo Arsenal enh?!?

Kwa hiyo mlivyokosa top 4 for how many years?!? Liverpool mwaka huu umekuwa washiriki zaidi kuliko washindani?!?

Toa unazi kwenye ubongo wako, ili uwe na mjadala huru.

Ibrah kaenda PSG kumalzia mda wake wa mpira,

Afu hapo kwa Man city umenichekesha sana, Umemtaja Dzeko kama world class player, afu Gerrard unasema syo world class player...
 
Chifu, basi. Maana unasema Arsenal wapo financially better kuliko United. Inaonekana huwezi kuongea bila ya unazi kichwani mwako.

Pamoja na kuwa na deni (ambalo limepungua sana) United wamespend takribani pound milioni 65 kwa Fellaini na Mata...sasa hapo kama si jeuri ya pesa ni nini!!???

Hizo pound milioni 200 zipo kwa ajili ya kutumika...hilo halina mjadala..

Kazi ya kuattract wachezaji ni ngumu kwenye akili zako tu!! Sasa ni pesa tu ndiyo inaongea...hayo mengine ni maneno ya kwenye kanga...kama Falcao alienda Monaco na Ibra akaenda PSG..huku Aguero, Silva na Toure wakienda City..kwanini United ishindwe kuwapata Reus, Kroos, Mangala, Carvalho n.k. kama wakipewa pesa ya kutosha?

Ebu tuweke unazi pembeni ili tuweze kuongea vizuri..

Arsenal wanahitaji kuanza upya, chini ya meneja mpya, Wenger keshafika omega...bila hilo, mtakuwa wa kuishia April kila mwaka...

nendeni kwenye uzi wenu mkabishane sio humu
 
sikubaliani na wewe hata kidogo Nzi

World class player syo lazma ashine kwenye national team, mfano mzuri ni mtu kama Lionel Messi, mchango wake kwenye Club ni mkubwa kuliko kwenye National team..

Kwa uingereza kuanzia 2000's unapomtaja Gerrard, unamtaja Paul scholes, frank lampard, ambao wote hao ni world class midfielders..

Nzi, unaposema Gerrard syo world class player unakosea sana...

Mtazamo wangu lakini.

Inaweza ikawa kweli..ila mchango wa Messi ni mkubwa kuliko Gerrard katika national team, hata kama Messi hana mchango mkubwa sana kwenye timu yake..

Ebu msome SAF kwenye autobio yake ili umwelewe kwanini hamwoni Gerrard hata na Lampard kama siyo world class...
 
sikubaliani na wewe hata kidogo Nzi

World class player syo lazma ashine kwenye national team, mfano mzuri ni mtu kama Lionel Messi, mchango wake kwenye Club ni mkubwa kuliko kwenye National team..

Kwa uingereza kuanzia 2000's unapomtaja Gerrard, unamtaja Paul scholes, frank lampard, ambao wote hao ni world class midfielders..

Nzi, unaposema Gerrard syo world class player unakosea sana...

Mtazamo wangu lakini.
Usibishane na watu wanazi unazi siku zote wao hongera hawataki kazi kubadilisha mada mbona sie tu nasema Paul Scholes world class na International alikuwa mbovu? Siku zote tukishinda hawatoi pong enzi hubadilisha mada ili kuwe naubishano tushawazoea akiongea Mwambie ndio arizike basi LFC YNWA!
 
What? Scholes? Hadi waingereza walikuwa wanalilia arudi kutoka retirement? Come on, you are better than that!
 
Hakika..huu mwaka unapaswa kuwa wenu, ingawa inauma..lakini saa zingine kupingana na uhalisia ni sawa na kupigana na ukuta..

Decisions nyingi sana zimekuwa upande wenu mwaka huu..leo tu decisions 3: Sketi kunawa, Flannagan kumwangusha Silva na Suarez kudive mara 2 bila ya kupewa 2nd yellow.

kwahiyo yellow ya kwanza kwa suarez ni sahihi? acha kuwa na mahaba ya kishetani wewe!
 
Usibishane na watu wanazi unazi siku zote wao hongera hawataki kazi kubadilisha mada mbona sie tu nasema Paul Scholes world class na International alikuwa mbovu? Siku zote tukishinda hawatoi pong enzi hubadilisha mada ili kuwe naubishano tushawazoea akiongea Mwambie ndio arizike basi LFC YNWA!

Dah..kwa kweli nimeshangaa sana, watu wanaosema Gerrard siyo World class player!!!!!

Seriously????!!!!
 
Hehehehe kaka nipo unajuwa hii game ngumu huwezi kuchat na kutizama bora utizame uje baadae vigemu virahisi ndio unaweza kufanya Hivyo ila kiukweli nakiri baada 2-1 nilienda kujichimbia baada muda nikasema game ishakwisha nikasema ndio basi tena alafu baada hapo napigiwa simu Babu yangu wa karibu MZEE MUHIDIN GURUMO ameaga Dunia Mwenyezimungu amlaze mahali pema Peponi Ameen! YNWA! Na msiba kuliko fur aha.

kulikuwa na habari kutoka kwa Ntuzu kuwa mmejificha darini tehtehtehtehtehtehtehtehteh! Na kwamba baada ya kupandisha nyau mmekurupuka tehtehtehtehteh!!
BTW hongera kwa ushindi na pole sana kwa huo msiba mkuu I didn't know.
 
Ibrah kaenda PSG kumalzia mda wake wa mpira,

Afu hapo kwa Man city umenichekesha sana, Umemtaja Dzeko kama world class player, afu Gerrard unasema syo world class player...

Falcao? Toure, Aguero, Silva?

Wapi nimesema Dzeko ni world class? Yeye ni squad player muhimu sana! Anaongeza squad depth, kitu ambayo loserfools hamna kwa sasa. Squad depth ndiyo iliyowapa ubingwa Chelsea na Maureen na City na Mancini!

Eti Ibra kamaliza mpira wake? The guy is banging goals like crazy, in UCL, national team etc.
 
Back
Top Bottom