Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

hauwezi kuwa haujarogwa jamaa angu, mlisubir miaka mingapi hadi kuja kuchukua EPL na mlisubir miaka mingapi hadi kuchukua UCL uwe unashirilikisha ubongo kidogo co unaropoka tu
 
hivi nyie mpira mmeanza kushabikia lini eti haiwezekani mtu akufunge mbili usawazishe kweli nyie ni plastic fans, muulize ac milan kilichomkuta instanbul alikuwa anaongoza ngapi hadi mapumzika na bingwa alikuwa nani, ndani ya dk6 tu mtu alipigwa3, beki yetu inaruhusu bao kutokana na straika wanavyofunga bwana mdogo,
 
Goli mbili zilikua za Penalty za kupewa na FAINAL iliyofata mlikutana na Ac Milan kilichokukuta unakikumbuka uzuri kabisa! Nyie ni jogoo liwikalo kijijini tu!
 
itakuwa 4-3-3 vs 4-2-3-1.

Martin Skirtel vs Demba Ba(or Eto'o)

nyuma ya Ba kama kawaida: the three 'playmakers' Oscar-Willian-Hazard; or Mo Salah-Oscar-Hazard..mtajeruhiwa sana..hapo kwenye beki zenu.

kati sasa ndo patamu. Gerrard vs Matic(spider man); Ramires "box to box midfielder...

washambuliaji wenu: SSS watakiona cha moto: kushoto Dave - Cesar Azpilicueta; kulia Ivanovic..kati sina hata ya kusema the strongest partnership: Cahill and Terry.

mechi ya kwanza pale kati tuliwatuliza kabisa walicheza Lampard na Luiz; sasa tunaweka ufundi kidogo kwa kuwawekea Matic, tukitaka tunaweza kuweka Matic na Mikel ndo mtakuwa hampiti kabisa vijogoo....

tarehe 27 si mbali..:high5:
 
nguvu bila akili hasara..🙂
 
Goli mbili zilikua za Penalty za kupewa na FAINAL iliyofata mlikutana na Ac Milan kilichokukuta unakikumbuka uzuri kabisa! Nyie ni jogoo liwikalo kijijini tu!

nafurahi umetambua tuliingia fainali UCL in two consecutive periods! Tushabeba 5UCL cups(mara nyingi kuliko timu yeyote ya england). Nipe rekodi yako mkuu(fanya kwenye UCL pekee,make huko kwingine nakusamehe)
 
UN TRUE

mlicheza fainali 2005 vs AC Milan
mlicheza fainali 2007 vs AC Milan

hapo kati 2006 ilikuwa Arsenal vs Barca;

fikiri kabla ya kusema..FYI.
 
CHELSEA FC RESPONSE:

  • The first English team to qualify for the UEFA European Cup, winning the 1954-55 1st Division (though Chelsea were not allowed to participate by the FA)

  • The first English team to win all 3 major UEFA competitions and only the fourth European club to do so

  • The first UEFA Champions League holders to win the UEFA Cup/UEFA Europa League the following year – 2012–13 season

nafurahi umetambua tuliingia fainali UCL in two consecutive periods! Tushabeba 5UCL cups(mara nyingi kuliko timu yeyote ya england). Nipe rekodi yako mkuu(fanya kwenye UCL pekee,make huko kwingine nakusamehe)
 
Mkuu umemsahau na Schullre pale nyuma ya Ba na Eto'o sasa wataamua wao tuwapangie nani wanaemtaka wao?

Teh Teh Teh Teh Teh

Spider man akisimama na Luiz pale Kati tank Hawa Loserfool ndio watapotea kabisa na Yule babu Yao SG.

Teh Teh Teh Teh
 
UN TRUE

mlicheza fainali 2005 vs AC Milan
mlicheza fainali 2007 vs AC Milan

hapo kati 2006 ilikuwa Arsenal vs Barca;

fikiri kabla ya kusema..FYI.

Huyo jamaa nimewatega na yeye akajaa mzima mzima!

Ata kumbukumbu hawana!

Alafu tangu apigwe na Milan 2007 ndio Loserfool ikapotea kabisa!

Teh Teh Teh Teh

Ebu waangalie Ktk miaka 10 iliyopita Chelsea ni lini hawajashiriki UCL?
 
We lazima Ni mwanamke unashangilia mpira kumfurahisha bwana ako, au la ni utoto unakusumbua. Mashabiki wa kweli wa mpira hawaruki ruki kama mbwa yuko kwenye joto. Linapokuja suala la Football greats ubishani ni Kati ya mashabiki wa Liverpool na Man United, nyie wengine ingieni jikoni kupika tu. Hujui mpira wewe zaidi ya kuwa na mihemko ya mpira.
 
LFC for Glory 2014.. Mourinho atapasuka Anfield..Back to Glory days!! You know what I mean right? YNWA!!

UN TRUE..

2009 ANFIELD.

[TABLE="class: generic"]
[TR]
[TD]Wed 08 Apr
[/TD]
[TD]il Liverpool
[/TD]
[TD] 1 - 3
[/TD]
[TD] Chelsea
[/TD]
[TD]Champions League
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

tutawafunga pale pale kwenu kwa sababu tunautaka ubingwa pia..

we have done it..we will do it again..CHELSEA FC
 
Expert?

hilo ndilo watu wa LOOSERFOOL wanalojua .. wakishindwa hoja wanaanza kutukana..bado tarehe 27.
 
Mkuu Mahesabu yako yakoje??Hivi ujui kua Chelsea ata ikitokea amemfunga Liver nafasi ya ubingwa kwake ni hadi City aharibu moja yake mechi zake, so Chelsea bado hana nafasi ki Wepesi, maana bado itamuitaji kumuombea City apoteze nikimaanisha anahitaji matokeo ya mabaya toka team mbili kwa yeye kuchukua, so far sijaiona team ya kumharibia Man City baada ya sisi kumharibia.
Kuhusu SG8 kadi zake zilisha isha tarehe 13 mwezi wa 4..........Ebu acha uoga wako
 
[TABLE="class: generic"]
[TR]
[TD]Wed 08 Apr[/TD]
[TD]Liverpool[/TD]
[TD]1 - 3[/TD]
[TD]Chelsea[/TD]
[TD]Champions League [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
hauwezi kuwa haujarogwa jamaa angu, mlisubir miaka mingapi hadi kuja kuchukua EPL na mlisubir miaka mingapi hadi kuchukua UCL uwe unashirilikisha ubongo kidogo co unaropoka tu

vitoto vya Maureen mna matatizo kweli

Jana Chelshit, pamoja na swansea kupata RedCard ya Mapema, walipata taaaaaaabu sana kushinda..

Afu still wanapga Mahesabu ya kuja kushinda ANFIELD.

Mawazo ya Plastic fans, yanakuwaga Mgando sana...

CITY v EVERTON game ya mwisho..
 
Goli mbili zilikua za Penalty za kupewa na FAINAL iliyofata mlikutana na Ac Milan kilichokukuta unakikumbuka uzuri kabisa! Nyie ni jogoo liwikalo kijijini tu!

Nashukuru kufahamu kua hukuangalia mechi iyo, na wala wewe si mpenzi wa soccer ila ni mpenzi wa team yako Tu, alafu hiki kizazi cha Abromovich kilichoanza ushabiki miaka ya 2000 ni tatizo sana aisee.
 
CITY v EVERTON game ya mwisho..

Bado hesabu ziko pale pale yani ushinde zako ukae uombe City kupoteza, so hatma ya ubingwa itakua mikononi mwa City si wewe, ivyo kimahesabu nafasi kwako inategemea mwenzako aharibu ni haitegemei wewe!Ebu tuache ubishi na tuongea vitu halisi vinavyoonekana kwenye msimamo wa ligi....ikumbukwe sijapinga kua hamuwezi kuchukua ila swala ni kua hatma yenu iko mikononi mwa City mwenyewe.
 
Nashukuru kufahamu kua hukuangalia mechi iyo, na wala wewe si mpenzi wa soccer ila ni mpenzi wa team yako Tu, alafu hiki kizazi cha Abromovich kilichoanza ushabiki miaka ya 2000 ni tatizo sana aisee.

PREMIER LEAGUE RECORD: TIMU YAKO IKO WAPI HAPO?

[h=3]Titles[/h]
[h=3]Wins[/h]
[h=3]Losses[/h]
[h=3]Draws[/h]
[h=3]Attendances[/h]
[h=3]Goals[/h]
 
Mkuu Evaton ana uwezo mkubwa sana wa kulazimisha draw au kumpiga mancity ila usihof hawa mabinti wa maureen pale anfield hawachomoki waache wajifariji tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…