Hii ishu ni tofauti kwa team nyingne, Kwa mfano Liverpool wanaweza wakauziana wachezaji directly na Arsenal, Man city, Chelsea, Spurs na team zingne kwenye PL..
Lakin Liverpool na Man utd hawana utamaduni wa kuuziana wachezaj directly, yaan mpak sasa tangu mwaka 1964 hakuna mchezaj aliyetoka liver kwenda man utd au kutoka man utd kwenda Liver directly, na Hakuna MAKUBALIANO yoyote yaliyofikiwa kuwa club hiz zisiuziane wachezaj, Ila tu hii inatokana na upinzan MKuBWA sana baina ya hizi team since then..
Rivarly yao ni kubwa sana katka Soccer ya UK, kila team inagombea UFALME wa soccer ya ENGLAND, kumbuka hiz ndo the biggest clubs in ENGLAND to date..Na baada ya Fergie kuichukua Man utd ndo Upinzani ukazid mara dufu. Liverpool and Man utd shares a fiercest rivarly in English football History that has lasted for decades now..miongo kibao imepita..na bado upinzani unazid..
Afu kuhusu hizi transfer rumours, kuhusu liverpool, ningeshauri uwe unawachek sana reporters kama James pearce wa LiverpoolEcho, Ben Smith wa BBCsport, au Tony Barret wa The Times hawa wana inside infos za liverpool na ni Reliable sana...hawa Metro, mirror, The independent, Telegraph, ni trash kabisa, na ukiwafatilia kuhusu habar za usajil unaweza ukadata au ukaamini vitu ambavyo havipo kabisaaaa...