Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ni kweli Mkuu!

Soccer ni upendo!

Anyway! Mahaba ndio kila kitu kwa timu Mkuu!

ngoja tukikugonga tarehe 27 ndio utafunga lako bakuri maaana unabwata sana aiseee bila hata gavana??

Chelsea ww tushakugonga sana hasa na huyo kocha wenu morinyo Alikuwa hafurukuti kabisaaa aisee
 
ngoja tukikugonga tarehe 27 ndio utafunga lako bakuri maaana unabwata sana aiseee bila hata gavana??

Chelsea ww tushakugonga sana hasa na huyo kocha wenu morinyo Alikuwa hafurukuti kabisaaa aisee

Teh Teh Teh Teh

Mkuu LEGE nitangaza biashara na nyie baada ya game yng na arsenal na nikaweka kambi humu au hukumbuki?

Teh Teh Teh Teh

Mkuu bila Shaka kukaa kimya Mimi ni kitu ambacho hakiwezekani! Wewe Subiri uone huyo BR anavyofungwa!
 
Last edited by a moderator:

Nashukuru sana mkuu kwa uchambuzi wa kina kabisa huo. Hivi kumbe hata mchezaji kutoka timu moja kwenda nyingine inategemea huwa mkoje na timu inayomtaka. Sasa hapo sijui ni suala la mkataba wa kuuziana au kutouziana wachezaji uliopo baina ya timu husika au ni hali tu inayojitokeza.
 
Hii ishu ni tofauti kwa team nyingne, Kwa mfano Liverpool wanaweza wakauziana wachezaji directly na Arsenal, Man city, Chelsea, Spurs na team zingne kwenye PL..

Lakin Liverpool na Man utd hawana utamaduni wa kuuziana wachezaj directly, yaan mpak sasa tangu mwaka 1964 hakuna mchezaj aliyetoka liver kwenda man utd au kutoka man utd kwenda Liver directly, na Hakuna MAKUBALIANO yoyote yaliyofikiwa kuwa club hiz zisiuziane wachezaj, Ila tu hii inatokana na upinzan MKuBWA sana baina ya hizi team since then..

Rivarly yao ni kubwa sana katka Soccer ya UK, kila team inagombea UFALME wa soccer ya ENGLAND, kumbuka hiz ndo the biggest clubs in ENGLAND to date..Na baada ya Fergie kuichukua Man utd ndo Upinzani ukazid mara dufu. Liverpool and Man utd shares a fiercest rivarly in English football History that has lasted for decades now..miongo kibao imepita..na bado upinzani unazid..

Afu kuhusu hizi transfer rumours, kuhusu liverpool, ningeshauri uwe unawachek sana reporters kama James pearce wa LiverpoolEcho, Ben Smith wa BBCsport, au Tony Barret wa The Times hawa wana inside infos za liverpool na ni Reliable sana...hawa Metro, mirror, The independent, Telegraph, ni trash kabisa, na ukiwafatilia kuhusu habar za usajil unaweza ukadata au ukaamini vitu ambavyo havipo kabisaaaa...
 
zama zipi hizo..za mawe za mwanzo au za mawe za mwisho?😛hoto:
ngoja tukikugonga tarehe 27 ndio utafunga lako bakuri maaana unabwata sana aiseee bila hata gavana??

Chelsea ww tushakugonga sana hasa na huyo kocha wenu morinyo Alikuwa hafurukuti kabisaaa aisee
 
JOSE MOURINHO VS LIVERPOOL

IDADI YA MECHI DHIDI YA LIVERPOOL = 17.

Mourinho kaipiga Liverpool Fc mara 8.
Mourinho katoa droo ni LIverpool mara 4.
Mourinho kapoteza kwa Liverpool mara 5.

Sasa nani hafurukutu hapo? Labda wewe LEGE.:glasses-nerdy:
ngoja tukikugonga tarehe 27 ndio utafunga lako bakuri maaana unabwata sana aiseee bila hata gavana??

Chelsea ww tushakugonga sana hasa na huyo kocha wenu morinyo Alikuwa hafurukuti kabisaaa aisee
 
Daaah! ebwana big up sana kwa update zako nzuri. Nashukuru ntakuwa nafuatilia toka hao reporters broo
 
JOSE MOURINHO VS LIVERPOOL

IDADI YA MECHI DHIDI YA LIVERPOOL = 17.

Mourinho kaipiga Liverpool Fc mara 8.
Mourinho katoa droo ni LIverpool mara 4.
Mourinho kapoteza kwa Liverpool mara 5.

Sasa nani hafurukutu hapo? Labda wewe LEGE.:glasses-nerdy:

Tatizo Morinho akifungwa huwa hakosi sababu kusingizia wenzake. mara utamsikia ooh, Suarez anajiangusha sana, mara sijui refa mbovu, yani ilimradi tu apate cha kusingizia
 
Tatizo Morinho akifungwa huwa hakosi sababu kusingizia wenzake. mara utamsikia ooh, Suarez anajiangusha sana, mara sijui refa mbovu, yani ilimradi tu apate cha kusingizia

SUAREZ hajawahi kumfunga Mourinho;

msimu huu SUAREZ hajafunga Chelsea FC, hajafunga City, timu ambazo Suarez anaweza kuzifunga ni timu za kuanzia nafasi ya 8-20 huko ndo anafunga sana.

MOURINHO kiboko yako.
 
Tatizo Morinho akifungwa huwa hakosi sababu kusingizia wenzake. mara utamsikia ooh, Suarez anajiangusha sana, mara sijui refa mbovu, yani ilimradi tu apate cha kusingizia

hapo kwenye wino mwekundu una uhakika mkuu au ni hisia zako tu?
nawaheshimuni majirani lakini uwongo si mzuri hapa JF.
Kuhusu Suarez kujirusha ni kawaida yake hata yeye amewahi kukiri hadharani kwamba huwa anajirusha ili kusaidia timu.
Nitoe 'source' ya habari?

Kamata: BBC SPORTS

Rodgers revealed the club would take action against the Uruguayan.

"I think it's wrong. It's unacceptable. I've spoken to Luis and it will be dealt with internally," he said.
"Diving is not something we advocate. Our ethics are correct.

"He has been totally understanding on where I am coming from as manager of the club," Rodgers continued.

"This is a big club and, whatever people do say goes around the world, and what was said was wrong and not acceptable. There is no-one bigger than the club or the club's image."
 
SUAREZ:
Suarez made the shock comments in an open interview with Fox Sports Argentina, where he revealed that fell inside the box cheaply because ‘we needed to win'.

‘Football is like that. Sometimes you do things on the field that later you think ‘why the hell did I do that?,' said Suarez.

‘I was accused of falling inside the box in a match, and it's true I did it that time, because we were drawing against Stoke at home and we needed anything to win it.'
 
Nashukuru kwa hiyo quote, lakini nlichotaka kusema mimi jirani ni kwamba, ni kweli morinho ni kocha mwenye mbinu za ushindi ila anakuwaga na vita vya maneno sana hata kama kafungwa kihalali. Mfano kuna match ilikuwa inatarajiwa kuchezwa kati ya Liverpool na Chelsea, kabla siku chache morinho alianza kujihami na maneno kibao akimshutumu Suarez kuwa asijiangushe. Sawa, hata kama, mbona Drogba alikuwa chini ya Morinho lakini alikuwa mtu wa kujiangusha sana. ila wenzake hawakumpigia kelele kihivyo.
 
Teh Teh Teh Teh

Hili jamaa silipendi mie!!!!! Kwanza lilidaka na kuzuia goli kule south africa dhidi ya Ghana! Alafu liligeuka Zombi Siku moja na kumng'ata meno Ivanovic! Linamichezo ya ajabu hili ya kufosi kila mbinu!

Teh Teh Teh Teh

Suarez a.k.a Zombi ni Bishi sn hili jamaaa! Lkn safari hii Cahill lazima azae nae Huyu Teh Teh Teh Teh!
 
SUAREZ hajawahi kumfunga Mourinho;

msimu huu SUAREZ hajafunga Chelsea FC, hajafunga City, timu ambazo Suarez anaweza kuzifunga ni timu za kuanzia nafasi ya 8-20 huko ndo anafunga sana.

MOURINHO kiboko yako.

Goli ni goli tu, haijalishi umeifunga timu gani. Na hata kama hajazifunga, ukifuatilia ana mchango mkubwa sana kwa wale waliofunga. Lakini pia Suarez ndiye anayeongoza kwa sasa kwa ufungaji EPL
 
Suarez made the shock comments in an open interview with Fox Sports Argentina, where he revealed that fell inside the box cheaply because ‘we needed to win'.
‘Football is like that. Sometimes you do things on the field that later you think ‘why the hell did I do that?,' said Suarez.
‘I was accused of falling inside the box in a match, and it's true I did it that time, because we were drawing against Stoke at home and we needed anything to win it.'

VITUKO VYA LUIS SUAREZ MCHEZAJI WA LIVERPOOL:
1. Alishika mpira vs Ghana 2010.
2. Aling'ata mchezaji alipokuwa anacheza ligi ya Uholanzi akapigwa ban mechi 7.
3. Alimpiga teke Scott Parker wa Spurs.
4. Alivuta nywele za mchezaji wa Man Utd; Rafael da Silva.
5. Alishika mpira kwa makusudi alafu akafunga ilikuwa mechi kati ya LIVERPOOL vs MANSFIELD
6. Aliwanyooshea kidole cha kati mashabiki wa FULHAM.
7. Alijirusha mbele ya kocha David Moyes walipocheza LIVERPOOL vs EVERTON
8. Alimtukana Evra na kumbagua kwa sababu ni mweusi.
9. Aligoma kusalimiana na Evra kwenye mechi dhidi ya MAN UTD.
10. Alimng'ata Ivanovic wa Chelsea, kumbuka alifungia mechi ngapi?

KWENYE MAMBO YA KINYANI NYANI..SUAREZ KAMZIDI DROGBA MBALI KABISA..SUAREZ KIBOKO YAO..
 
Suarez simpendi sn! Ana matukio mabaya mabaya!
 
Goli ni goli tu, haijalishi umeifunga timu gani. Na hata kama hajazifunga, ukifuatilia ana mchango mkubwa sana kwa wale waliofunga. Lakini pia Suarez ndiye anayeongoza kwa sasa kwa ufungaji EPL

Torres anaongoza akifuatiwa na Etoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…