jamaa wana bonge la kwi kwi pale nyuma.timu ina matatizo makubwa sana hile.Duh! Gerrard naona atamfunga mdomo Benitez.
Bolton 2-3 Liverpool
hawa watoto spurs noma sana.
hawa watoto spurs noma sana.
mkuu umeponea chupu chupu yani kama jogoo linataka kuchinjwa limeacha manyoya lool.sema mkuu nadhani unahitaji kukaa kikao.hivi na lile beki lenu mtu mzima mmemtoa wapi yule lool?Spuds wameingiaje humu wa the kops Mr. Bean wa Bongo???
The final score ni Liverpool 3 - Bolton 2, kwisha!!!
mkuu umeponea chupu chupu yani kama jogoo linataka kuchinjwa limeacha manyoya lool.sema mkuu nadhani unahitaji kukaa kikao.hivi na lile beki lenu mtu mzima mmemtoa wapi yule lool?
Spuds wameingiaje humu wa the kops Mr. Bean wa Bongo???
The final score ni Liverpool 3 - Bolton 2, kwisha!!!
Rafa amekalia 'kuti kavu', asipojirekebisha kibarua chake kitaisha muda si mrefu!
Nimeangalia leo skysport na soccernet; Xabi amemchana Rafa live kwamba his decision to sell him for Gareth BArry prompted his departure... this is really bad news for Rafa, hasa wakikosa ubingwa
Babel naye kadai hana furaha Liverpool kwa hiyo anataka kwenda zake Ajax. Kazi kweli kweli