Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tatizo la Rafa ni kuingiza wachezaji kwenye mabifu yake!!! last season Alonso ali-lead team wakati Gerrard anasusa, this time hakuna leader!!!

Nevertheless, in a week or two haya mambo yataisha, either watafukuza Rafa au itabidi apinde na kuwa chini ya klabu

Sijaona strikers wakicheza bila motivation kama Torres na Babbel jana... torres spent more time on the ground kuliko sehemu yoyote

YNWA
 
kujitetea tu mazee,bwawa la maini mnategemea Gerald na Torres nao viwango vimeshuka tayari,hutaki kuamini?mwaka huu hata kumi bora wazee wa maini hampo yakhe!subiri j,si uone mechi!!
 
kujitetea tu mazee,bwawa la maini mnategemea Gerald na Torres nao viwango vimeshuka tayari,hutaki kuamini?mwaka huu hata kumi bora wazee wa maini hampo yakhe!subiri j,si uone mechi!!

Unaweza ukawa right, ila i may not be the best to assess arsenal kama si mpenzi wa the arses... i read more about liverpool kuliko any other european team, liver wamefulia na hakuna dressing room vigour!!! Kasome goalposts kidogo tena kuna wanazi wa arses, manure na scums kibao kule utapata uroda zaidi
 
Yep bro, mpira sasa umeingiliwa na wajasiriamali wasiojali nini kinatendeka uwanjani wao wanaangalia Balance Sheets zao tu.
longo longo zoooote hilo ndilo jibu haswaaaaa kwenye soka la sasa hivi.....
 
Hali si shwari mjomba.... kila move naona hamna creativity, na jamaa wamepaki icarus golini

Pole sana mkuu MTM......mambo ya game hayo mkuu! Lkn nakumbuka nilikutahadharisha kuwa hawa A/villa si wa kuwachekea sana.......ona sasa wamewatoa ngeu ten Anfield!
 
Poleni Bwawa la maini. This time around you might be "WALKING ALONE". You succumbed easily to Aston Villa last night. Put yourself together compose yourselves once again and put up a spirited show in your next game. 3-1 beating is shameful.
 
mi nishasema, liver fool lazima watafulia tu hawa.

haiwezekani mtu anakuja nyumbani kwako anashusha sufuria ya ugali jikoni na wewe baba mwenye familia upo.

mwaka wa cheseeeeeeeee!
 
mi nishasema, liver fool lazima watafulia tu hawa.

haiwezekani mtu anakuja nyumbani kwako anashusha sufuria ya ugali jikoni na wewe baba mwenye familia upo.

mwaka wa cheseeeeeeeee!

Hakua mwaka wa chesssssssss,karata wala shetani wa njano hapa,...
ni mwaka wa bunduki tu "Gunners Forever "
 
Hakua mwaka wa chesssssssss,karata wala shetani wa njano hapa,...
ni mwaka wa bunduki tu "Gunners Forever "

Nafarijika sana kuona jamvi letu linapata wageni kwa sasa.... walisema adui yako muombee njaa, na kweli wageni mnatuombea njaa

LETS SEE DECEMBER 27 2009 TUTKUWA WAPI, ITS ONLY THEN NDIO NITADECLARE

THE SCUMS AND ARSES.... GEMU TATU TU TAYARI PEREPETE??? MNAKUMBUKA HULL CITY MWAKA JANA??
 
Pole MTN Benitez atajuta sana kwa nini last season hamkuchukua ubingwa
 
Yep bro, mpira sasa umeingiliwa na wajasiriamali wasiojali nini kinatendeka uwanjani wao wanaangalia Balance Sheets zao tu. Lakini kwa upande mwingine Benitez kweli ni mmojawapo wa makocha wenye pupa kinyama. Nakumbuka mwaka jana kabla ya msimu wa 2007/2008 alimwambia Alonso kuwa atafute timu nadhani Arsenal walionesha interest lakini nadhani bei iliwashinda. Alonso akabana na kupigania namba na perfomance yake nadhani kila mtu aliiona. Na yeye msimu huu ameamua kujiondokea zake na sasa midfield naona imekuwa kubwa mno kwa upande wa Liverpool! Amemnunua huyu Aquilani ambaye ni mgonjwa na kwa staili ya mpira wa Liverpool itachukua muda sana ku-adopt. Natumai Fergie anakenua tu sasa ivi maana alishatabiri maafa huko Merseyside..he he he..
aquilani ni mchezaji mzuri sema mpaka apone sijui kama ataikuta liverpool iko salama bado.alonso alichofanya ni pay back ya kuvunjiwa heshima na kocha wake last season.benitez anatakiwa ajifunze kuwork na budget anayopewa mbona wenger hatumii hela nyingi na ana survive vizuri tu?
 
What Alonso did was professional and i would have done the same!!!

its like treating a player as a second class citizen
Haiwezekani leo bosi hanitaki anamtaka staff mwingine halafu kesho akimkosa ndio anataka nibaki
 
poleni livefools mmefulai tena.

uk premiership nyie kwenu ni ndoto
 
aquilani ni mchezaji mzuri sema mpaka apone sijui kama ataikuta liverpool iko salama bado.alonso alichofanya ni pay back ya kuvunjiwa heshima na kocha wake last season.benitez anatakiwa ajifunze kuwork na budget anayopewa mbona wenger hatumii hela nyingi na ana survive vizuri tu?

Teh teh teh replacement of Xabi Alonso, I am afraid this guy usually spent most of time in the treating room! Hebu angalia statistics hapa

Aquilani is recovering from surgery he had on his right ankle in May and his tenure at Roma has been blighted by injury problems. He has played only 73 games in three seasons for Roma and his last appearance came as a substitute on March 11, against Arsenal in the Champions League.

Sasa kwa ligi ngumu ya Uingereza ataiweza kweli huyu? His injury records worries me a lot...

Gazeti laendelea, alikuwa asajiliwe na Arsenal when was teenager, na baadaye Chelsea walimtaka lakini tatizo la kuumia liliwakimbiza....

Aquilani’s talents have been spotted by Liverpool’s rivals before with Arsenal and Chelsea keen to sign him when he was still a youth player.

Kifupi hatawasaidia Liverfool kubakia kwenye top 4....2009/10
 
aquilani ni mchezaji mzuri sema mpaka apone sijui kama ataikuta liverpool iko salama bado.alonso alichofanya ni pay back ya kuvunjiwa heshima na kocha wake last season.benitez anatakiwa ajifunze kuwork na budget anayopewa mbona wenger hatumii hela nyingi na ana survive vizuri tu?

Yaani wewe unawaambia Liverpool wazoee kukosa vikombe na kuingia champions league kila mwaka kwa njia ya mchujo? Liverpool nadhani hawawezi ku-balance mahesabu yao kwa sababu tamaa ya vikombe..Arsenal aahh wao wameridhika ndio maana vitabu vyao vya mahesabu vina ahueni.
 
Arsenal is a moving corpse, Abdulhalim kwani hujui? waulize mara ya mwisho kuchukua kombe ili century ipi?
 
Arsenal is a moving corpse, Abdulhalim kwani hujui? waulize mara ya mwisho kuchukua kombe ili century ipi?

Ndio faida ya ku-balance vitabu hiyo. Hakuna vikombe na miaka inaenda tu. Na ku-balance vitabu Mr. Bean akaamua kuwauza Adebayor na Toure. Na bado mwakani atamuuza Fabregas ku-service deni la uwanja wa Imarati...teh teh teh..
 
Arsenal is a moving corpse, Abdulhalim kwani hujui? waulize mara ya mwisho kuchukua kombe ili century ipi?

Ha!ha!ha!ha!......Masa maisha sio vikombe tu.......nakubaliana na Abd... balancesheet ni muhimu pia mkuu......na consistency perfomance kny ligi...bila kushuka daraja mkubwa..ha!Hah!
 
Back
Top Bottom