Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

poleni sana wapinzani, mnapaswa kutulia ili mje vizuri match zijazo.
 
Manure started the same way last season.... the one who laughs last, laughs longer!!!

YNWA

But you lost only two games for the whole last season and not became champions, in this one you have already lost two games in just three! Any hope of not losing anymore game?!
 
...bado mapema kuwa write off Bwawa la maini,...ni mapema mno. Zimepotea 6 tu, pointi 108 bado 'kuvunwa'...
 
Nadhani kuna MEGA beef ndani ya Anfield hivi sasa, maana naskia last week Benitez aliripotiwa kutaka kubwaga manyanga baada ya wanene kuleta gozigozi kwenye kutoa hela ya usajili.
 
Nadhani kuna MEGA beef ndani ya Anfield hivi sasa, maana naskia last week Benitez aliripotiwa kutaka kubwaga manyanga baada ya wanene kuleta gozigozi kwenye kutoa hela ya usajili.
jamaa kila siku akinyimwa hela anataka kususa,huwezi ukawa unanunua tu ovyo wachezaji bila kuwa na msingi mzuri wa kujenga timu.ndio maana unakuta wachezaji wanakuja nakuondoka liverpool kwa sababu kocha papara nyingi.
 
Taarifa zasema Benitez alivimba baada ya ela iliopatikana kwa kuuza wachezaji akina Alonso kutaka kutumika kulipia madeni ya manunuzi wa club badala ya kuimarisha timu. Pia wamiliki wakasema akina Gerrard na Torres wame-renew mikataba yao ambayo ni ghali mno na wamemnunua huyu beki wa kulia Glenn Johnson na wana deni kwenye ku-service loan waliyotumia kununua timu..sasa nadhani na matokeo ya ovyo kwenye pitch ni wazi kuna MEGA mtafaruku unapikwa hivi sasa bado tu kuupakua.
 
sasa club si ina madeni mengi mkuu .
 
sasa club si ina madeni mengi mkuu .

Yep bro, mpira sasa umeingiliwa na wajasiriamali wasiojali nini kinatendeka uwanjani wao wanaangalia Balance Sheets zao tu. Lakini kwa upande mwingine Benitez kweli ni mmojawapo wa makocha wenye pupa kinyama. Nakumbuka mwaka jana kabla ya msimu wa 2007/2008 alimwambia Alonso kuwa atafute timu nadhani Arsenal walionesha interest lakini nadhani bei iliwashinda. Alonso akabana na kupigania namba na perfomance yake nadhani kila mtu aliiona. Na yeye msimu huu ameamua kujiondokea zake na sasa midfield naona imekuwa kubwa mno kwa upande wa Liverpool! Amemnunua huyu Aquilani ambaye ni mgonjwa na kwa staili ya mpira wa Liverpool itachukua muda sana ku-adopt. Natumai Fergie anakenua tu sasa ivi maana alishatabiri maafa huko Merseyside..he he he..
 
Back
Top Bottom