Peasant
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 3,949
- 698
Hali si shwari mjomba.... kila move naona hamna creativity, na jamaa wamepaki icarus golini
Don't mind mkuu, you will never walk alone!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hali si shwari mjomba.... kila move naona hamna creativity, na jamaa wamepaki icarus golini
It seems like this is Liverpool's year! Lol
Game over, poleni sana Pool
Manure started the same way last season.... the one who laughs last, laughs longer!!!
YNWA
Manure started the same way last season.... the one who laughs last, laughs longer!!!
YNWA
mkuu ifanyie editing hii msg yako.Dozi ya nne nne safari hii tumeianza mapema....mjishike...hatuangalii sura ni dozi mpaka tulione kombe anfield.
lakini ni wakati muafaka kuwa write off gunners?...bado mapema kuwa write off Bwawa la maini,...ni mapema mno. Zimepotea 6 tu, pointi 108 bado 'kuvunwa'...
jamaa kila siku akinyimwa hela anataka kususa,huwezi ukawa unanunua tu ovyo wachezaji bila kuwa na msingi mzuri wa kujenga timu.ndio maana unakuta wachezaji wanakuja nakuondoka liverpool kwa sababu kocha papara nyingi.Nadhani kuna MEGA beef ndani ya Anfield hivi sasa, maana naskia last week Benitez aliripotiwa kutaka kubwaga manyanga baada ya wanene kuleta gozigozi kwenye kutoa hela ya usajili.
jamaa kila siku akinyimwa hela anataka kususa,huwezi ukawa unanunua tu ovyo wachezaji bila kuwa na msingi mzuri wa kujenga timu.ndio maana unakuta wachezaji wanakuja nakuondoka liverpool kwa sababu kocha papara nyingi.
sasa club si ina madeni mengi mkuu .Taarifa zasema Benitez alivimba baada ya ela iliopatikana kwa kuuza wachezaji akina Alonso kutaka kutumika kulipia madeni ya manunuzi wa club badala ya kuimarisha timu. Pia wamiliki wakasema akina Gerrard na Torres wame-renew mikataba yao ambayo ni ghali mno na wamemnunua huyu beki wa kulia Glenn Johnson na wana deni kwenye ku-service loan waliyotumia kununua timu..sasa nadhani na matokeo ya ovyo kwenye pitch ni wazi kuna MEGA mtafaruku unapikwa hivi sasa bado tu kuupakua.
sasa club si ina madeni mengi mkuu .