Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sio mbaya sana, uwezo na nia ya kuchukua ubingwa mwaka huu bado tunao. Hawa jamaa hata last year walikuwa moja ya timu mbili zilizotufunga
YNWA
 
Sio mbaya sana, uwezo na nia ya kuchukua ubingwa mwaka huu bado tunao. Hawa jamaa hata last year walikuwa moja ya timu mbili zilizotufunga
YNWA

Yeah, that's the spirit!!! Its already one nil Liverpool, Torres hits the net on the fourth minute... Lets wait and see

Liverpool 1 SToke City NIL [20minutes]
 
Wazee wa jamvi... mbona leo mmelitosa jamvi??????????

Tumeshinda tatu bila kama wa TMK na wenzetu wa organic manure wamepewa ya chembe, moja bila

amkeni basi tukale bata
 
Ebanae goli la tatu ile move imenikumbusha move ya Berbatov msimu uliopita. Hongereni watani. Naona mshachukua point tatu na goli nne.

Ebanae maajabu Man City wanaongoza dhidi ya Barcelona.
 
Dozi ya nne nne safari hii tumeianza mapema....mjishike...hatuangalii sura ni dozi mpaka tulione kombe anfield.
 
Mechi inaboa kiaina. Hawa Aston Villa nao wako sloppy sitoshangaa kama Liverpool wakirudisha goli zote na kushinda.
 
maji marefu hayo mtavuka leo? kibaya zaidi wachezaji wapo wapo offended tena sijui kwa nini. Mnaweza kupokea dozi za kutosha leo. Liverpool 0 : 2 Aston Villa HT
 
maji marefu hayo mtavuka leo? kibaya zaidi wachezaji wapo wapo offended tena sijui kwa nini. Mnaweza kupokea dozi za kutosha leo. Liverpool 0 : 2 Aston Villa HT
BUT LIVERPOOLcan make a shsock comeback
 
Yaani hata cha kusema sijui, na bia hainyweki!!!! Really shocking performance from Liverpool

kwi kwi kwi kwi. Pole mkuu ndio maisha hayo vumilia. By the way mpiora dk 90, jipe moyo!
 
Back
Top Bottom